Vodacom Internet: Nimekosa kifurushi cha kujiunga kabisa

Vodacom Internet: Nimekosa kifurushi cha kujiunga kabisa

Hakika kwa sasa voda hawana mpinzani maana mimi nilikuwa natumia holotel nimesha wakimbia nimerudi kwetu vodacom....hakika nimeanza kuwaelewa wanaposema yajayo yanafurahisha........
Yani voda ni wajanja sana wanajua kuteka watu....wana vifurushi vya familia kulingana na ulipo..
Hii ya kwako tuu ndio hatari wamenifanya niachane na halotel....
Hakika yajayo yanafurahisha....

SHEIKH RUTA KWEMA! Naomba unipatie hivyo virushi nivione huwenda na mimi nikashawishika shekh wangu.
 
Voda wanaangalia matumizi yako ya line wale wenye matumizi madogô ya vocha ndio wanaofaidi ofa ya yakwako tu kama una line ya voda ambayo una muda huitumii ifufue utakuta ofa zakumwaga
Makosa ya voda ni pale wanapomkatalia baadhi ya vifurushi mtu anayeongeza salio kwa mpesa, eti wanataka tuwe tunanunua vocha shecnzmtf. Nina laini ya moderm huwa nainunulia vifurushi tu kutoka mpesa sasa nazuiwa kununua gb 40 eti kisa sijaweka vocha.
Lakini spidi ya internet ya voda huku nilipo ndio bora kuliko wote
 
Ya kwangu tu
Screenshot_20180417-140249.jpg
 
Kwanza mna menu complicated, pili gharama za vifurushi vyenu vina mnyima kabisa mtu kujiunga.Mnauza bundle za internet bei ghali.

Angalieni na hali jamani, soon nawahama na tupo wengi.
Halafu hiyo huduma ya yakwako tu inagawa wateja wenu ...kama hamjui. Kumbuke Vodacom ni mtandao wa Mawasiliano Hiyo kuwagawa watu kimatabaka kutokana na hisia zenu wenye we.

Acheni kugawa watu.
*149*03#
Then bonyeza 1 kwenye Dakika Utaona 1000 unapata GB kwa Siku 3
 
Sisi tulioanza kutumia voda 2004 acha tufaidi kifurushi cha ofa kwajiri yako buku 1 unapata MB week nzima
 
i was very fond of Vodacom untill they started thinking im rich and decided to charge me highly for their internet bundles. Yani wananiambia nilipie internet 20,000 kwa wiki wakati hela ya sukari tu hapa home mtihani!! Saivi nimeshapata mbadala wao.
 
Tatizo intaneti yao,Burr kabisa,slow mno,halafu vifurushi vyao wizi mtupu
 
Kwanza mna menu complicated, pili gharama za vifurushi vyenu vina mnyima kabisa mtu kujiunga.Mnauza bundle za internet bei ghali.

Angalieni na hali jamani, soon nawahama na tupo wengi.
Halafu hiyo huduma ya yakwako tu inagawa wateja wenu ...kama hamjui. Kumbuke Vodacom ni mtandao wa Mawasiliano Hiyo kuwagawa watu kimatabaka kutokana na hisia zenu wenye we.

Acheni kugawa watu.
Hongera! Umenunua dk 30 Voda-Voda,dk 20 mitandao yote, SMS 500 na MB 500 kutumika ndani ya saa 24. Furahia Whatsap/FB BURE. Piga *149*60# kujua Salio.
 
vifurushi na speed ya TTCL kwakweli hutojutia na sasa line zinakubali kwenye simu zote
 
binafsi walikuwa wananipa yakwako tu gb 10 kwa siku kumi na tano kwa elfu kumi.sijui ikawaje tu nashangaa wananiletea mb 2000 kwa elfu kumi siku 15,sasa nasema hivi kaeni na us*nge wenu soon mtakula mlipopeleka mboga *****.
 
Mimi tigo hunipa dakika 215 dakika 200 tigo-tigo na dk 15 mitandao yote pia napata sms 1500 na GB 1.2 kwa siku 7 vyote hivyo kwa shilingi 1500
 
Back
Top Bottom