Vodacom Internet: Nimekosa kifurushi cha kujiunga kabisa

Vodacom Internet: Nimekosa kifurushi cha kujiunga kabisa

sisi wengine 1500 gb 2 na point voda ukijiunga kiukweli wanalumwagia mi mb kibao
Hii ya kwako tuu naipenda sana yani kila mtu anayo zawadi yake ya Mb ...
IMG_20180411_212820.jpg
 
Hii offer inategemea mtu na mtu na pia wanaangalia na muda ulioanza kutumia line yao.
Bonyeza *149*03#
upande wa data vifurushi vyangu
2000- 5012mb siku 30
1000-1024mb siku 15
500-300mb siku 15
Sasa kama Vigezo ndio hivyo,mbona mm wamenibadilishia Gear angani. Mwanzo walau walinipa vifurushi vizuri ... Gafla naminya Menu nakutana na Vifurushi vya Makumi Elfu.
(Kwa mm hapo kigezo gani kimetumika ?)
 
Pole sana. Hii inaitwa ya kwako tu na siyo wote wanavyo hivyo vifurushi.
Mm nilijiunga kwa 2000 Gb5 siku 30 wakanipa Gb 4, mwezi iliopita nimejiunga 2000 gb 5 kinaisha tareh 21 mwezi huu baada ya hapo najiunga tena.
N.B
SIyo wote wenye vifurushi km hivi vya 2000 gb5 kwa mwezi
Hivi vifurushi vya ya kwako tu vimekaa kibaguzi mno
 
Nimeona nisipite hivi hivi. Kwa vifurushi Vodacom hawana mpinzani
Hakika kwa sasa voda hawana mpinzani maana mimi nilikuwa natumia holotel nimesha wakimbia nimerudi kwetu vodacom....hakika nimeanza kuwaelewa wanaposema yajayo yanafurahisha........
Yani voda ni wajanja sana wanajua kuteka watu....wana vifurushi vya familia kulingana na ulipo..
Hii ya kwako tuu ndio hatari wamenifanya niachane na halotel....
Hakika yajayo yanafurahisha....
 
Wewe bila shaka ni mtu wakupenda kulalamika na huna jema....hivi hata kwenye hili una toa lawama?
hili? hivi umefuatilia tangu mwanzo au?
IMG_20180411_123829_776.JPG


unadhani kwa kiasi hicho cha mb na kiasi cha pesa utakaa ukenue meno eti wako fair?
 
Sasa kama Vigezo ndio hivyo,mbona mm wamenibadilishia Gear angani. Mwanzo walau walinipa vifurushi vizuri ... Gafla naminya Menu nakutana na Vifurushi vya Makumi Elfu.
(Kwa mm hapo kigezo gani kimetumika ?)
Kingine wanaangalia kiasi unachoweka. Km unanunua sana vifurushi vyao lazima wakubadilishie gia. Kuna kipindi nilikuwa siweki salio kbsa wakaja kunipa dk 15 voda to voda kwa 250.
 
Mawasiliano Hiyo kuwagawa watu kimatabaka kutokana na hisia zenu wenye we.
Hakuna kitu kama hicho mkuu, huwezi fanya segmentation kwa hisia ktk biashara. Huwa kuna utafiti unafanyika.
 
Kwanza mna menu complicated, pili gharama za vifurushi vyenu vina mnyima kabisa mtu kujiunga.Mnauza bundle za internet bei ghali.

Angalieni na hali jamani, soon nawahama na tupo wengi.
Halafu hiyo huduma ya yakwako tu inagawa wateja wenu ...kama hamjui. Kumbuke Vodacom ni mtandao wa Mawasiliano Hiyo kuwagawa watu kimatabaka kutokana na hisia zenu wenye we.

Acheni kugawa watu.
hakika kumbe tuko wengi!!voda nimewagawa buree kwa vifurushi vya ghally!yaani ukigusa elfu kumi elfu tano!za buku mbili ndo kabisaa fasta imekwisha!jamani japo mpo vizury lakini hally zetu vyuma vimekaza na grisi ya ghally pia!kama mnasoma hizi msg tafadhalini tutawahama kwa kweli!!.
 
TTCL Tsh500 MB 800 na hii siyo ya Kubanwa Eti ya Kwako Tu.. Hiyo Yako Wateja wengine wa Vodacom hao hao hawana
mkuu umesahau buk 5 gb 7 mwez mzima na mb hazikati hovyo hovyo
 
Hii offer inategemea mtu na mtu na pia wanaangalia na muda ulioanza kutumia line yao.
Bonyeza *149*03#
upande wa data vifurushi vyangu
2000- 5012mb siku 30
1000-1024mb siku 15
500-300mb siku 15
Hii wanacheki vipi balance ya data bundle?
 
Pole sana. Hii inaitwa ya kwako tu na siyo wote wanavyo hivyo vifurushi.
Mm nilijiunga kwa 2000 Gb5 siku 30 wakanipa Gb 4, mwezi iliopita nimejiunga 2000 gb 5 kinaisha tareh 21 mwezi huu baada ya hapo najiunga tena.
N.B
SIyo wote wenye vifurushi km hivi vya 2000 gb5 kwa mwezi
Kadiri unavyozidi kujiunga ndio wanazidi kukipunguza, Mimi kilikuwepo pia ila kwasasa vimebaki vya mb chache tu.
 
Airtel 1000 siku 3 GB 1 ..DKK 110. ..10 mitandao yote...100 airtel

Mkuu! Airtel wana offer nzuri aise,, ukipiga hesabu ya fasta unapata 10GB ndani ya mwezi kwa buku 10...haina different na university line...
 
Puga *149*01#
Nenda ofa maalum
Utakuta familia kibao... kibaha,temeke kinondoni,...
Chagua familia
,tirririka hapo kuna 1gb ya 1000 wiki nzima na vinginevyo.

Mtandao upi huo mkuu?

Line za chuo bado zinatumika?
 
Voda kama ni Mteja mpya inabidi uwe mvumilivu kidogo kisha utaenda unakuwa ktk kupokea ofa ya kwako tu yaani voda raha tupu.
 
Back
Top Bottom