Vodacom Internet: Nimekosa kifurushi cha kujiunga kabisa

Vodacom Internet: Nimekosa kifurushi cha kujiunga kabisa

Ya kwako tu napataje hiyo package?Ninayo line ya vodacom Ila natumia kwenye mpesa tu!
Hii offer inategemea mtu na mtu na pia wanaangalia na muda ulioanza kutumia line yao.
Bonyeza *149*03#
upande wa data vifurushi vyangu
2000- 5012mb siku 30
1000-1024mb siku 15
500-300mb siku 15
 
Vodacom hampo serious
Screenshot_20180411-200332_Phone.jpg
 
Puga *149*01#
Nenda ofa maalum
Utakuta familia kibao... kibaha,temeke kinondoni,...
Chagua familia
,tirririka hapo kuna 1gb ya 1000 wiki nzima na vinginevyo.
 
Temeke University
*149*03#

500
Unapata Sms 500, Mb 500, Dakika 30 Vodacom -Vodacom, 20 Dakika Mitandao Yote Saa 24


2000
Unapata Sms 2000, Mb 1024, Dakika 50 Mitandao Yote, Dakika 150 Vodacom -Vodacom
Kwa Wiki Moja

Hii Inapatkana Kwa Watumiaji Wa Vodacom Waliopo Ndani Ya Wilaya Ya Temeke Ama Ukiingia Tu
 
Pole sana. Hii inaitwa ya kwako tu na siyo wote wanavyo hivyo vifurushi.
Mm nilijiunga kwa 2000 Gb5 siku 30 wakanipa Gb 4, mwezi iliopita nimejiunga 2000 gb 5 kinaisha tareh 21 mwezi huu baada ya hapo najiunga tena.
N.B
SIyo wote wenye vifurushi km hivi vya 2000 gb5 kwa mwezi
Hata mimi kwangu ipo lakini gb 5 ni kwa 5000/=
Buku napata GB 1 NA MB 200+
Kwakweli voda wameanza kunifurahisha sana
 
Kwanza mna menu complicated, pili gharama za vifurushi vyenu vina mnyima kabisa mtu kujiunga.Mnauza bundle za internet bei ghali.

Angalieni na hali jamani, soon nawahama na tupo wengi.
Halafu hiyo huduma ya yakwako tu inagawa wateja wenu ...kama hamjui. Kumbuke Vodacom ni mtandao wa Mawasiliano Hiyo kuwagawa watu kimatabaka kutokana na hisia zenu wenye we.

Acheni kugawa watu.
Chukua line ya voda ya chuo 10,000/= . Kwa tsh 1,500/= utapata 2GB wiki nzima
 
Back
Top Bottom