mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,287
- 6,186
sikuhizi tushawakimbia hao tunajiunga bando mwitu tu
Hiyo ya elfu 10 ,10GB kwa siku 15 iko poa.Nielekeze namna ya kijiunga niwahame Halotel!hiyo ni ya kwako tu sio ya wote tu
hebu cheki hapa ya kwako tu wenzako wanapewa sh ngapi
View attachment 741100
Ya kwako tu napataje hiyo package?Ninayo line ya vodacom Ila natumia kwenye mpesa tu!Pole sana. Hii inaitwa ya kwako tu na siyo wote wanavyo hivyo vifurushi.
Mm nilijiunga kwa 2000 Gb5 siku 30 wakanipa Gb 4, mwezi iliopita nimejiunga 2000 gb 5 kinaisha tareh 21 mwezi huu baada ya hapo najiunga tena.
N.B
SIyo wote wenye vifurushi km hivi vya 2000 gb5 kwa mwezi
Menu yao ni ngumu sana yaani kama hufuatiii matangazo yao lazima utoke kapa. Mara cheka zogo, mara pinduapindua, mara red rlx etc.Kwanza mna Menu complicated ,Pili Garama za vifurushi vyenu vina mnyima kabisa mtu kujiunga .
Mnauza Bundle za Internet Bei gali .
Angalieni na hali jamani ..soon nawahama.. na tupo wengi..
Hiyo ni yako wewe tu kwa wengine sio hivyo mkuu, ndio maana wanasema YA KWAKOVODACOM
2000/= GB 5 mwenzi
sijaona kwingineee
*149*01# ya kwako tu
Maumivu mkuuhiyo ni ya kwako tu sio ya wote tu
hebu cheki hapa ya kwako tu wenzako wanapewa sh ngapi
View attachment 741100
Kama hichi kipo poa sanaAngalia hii ofa kwanza View attachment 741105
Hii inaitwa propaganda ya kiwango cha standard gauge.VODACOM
2000/= GB 5 mwenzi
sijaona kwingineee
*149*01# ya kwako tu
hebu piga *149*03# uone kama hamna kifurush kinachokufaaKwanza mna menu complicated, pili gharama za vifurushi vyenu vina mnyima kabisa mtu kujiunga.Mnauza bundle za internet bei ghali.
Angalieni na hali jamani, soon nawahama na tupo wengi.
Mimi mwenyewe natumia Airtel mb 500 dk 10 mitandao yote Na dk za kupiga mtandao wao za kutosha Voda nshahama kitambo...kifurushi cha SAA 24 ndicho natumia hapo airtelm nimebaki.na.mpesa.2 bando.nilisha hama.sana airtel 500.naongea na.bando.ya mb 500
Kikiisha ujaribu uone kama utakiona. Vinabadirika badirika.VODACOM
2000/= GB 5 mwenzi
sijaona kwingineee
*149*01# ya kwako tu