Vodacom Internet: Nimekosa kifurushi cha kujiunga kabisa

Vodacom Internet: Nimekosa kifurushi cha kujiunga kabisa

Kikiisha ujaribu uone kama utakiona. Vinabadirika badirika.
Mimi wananiudhi speed ya internet sio bei ya bundle. Unanunua bando na inashindikana kulitumia.
Hii prepaid inatutesa sana. Ingekuwa unatumia ndo unalipa wangenitafuta kwa torch wezi hawa.
Tumia 4g yao
 
Makosa ya voda ni pale wanapomkatalia baadhi ya vifurushi mtu anayeongeza salio kwa mpesa, eti wanataka tuwe tunanunua vocha shecnzmtf. Nina laini ya moderm huwa nainunulia vifurushi tu kutoka mpesa sasa nazuiwa kununua gb 40 eti kisa sijaweka vocha.
Lakini spidi ya internet ya voda huku nilipo ndio bora kuliko wote
40gb kwa sh ngapi mkuu? Na unajiunga vp?
 
Kwanza mna menu complicated, pili gharama za vifurushi vyenu vina mnyima kabisa mtu kujiunga.Mnauza bundle za internet bei ghali.

Angalieni na hali jamani, soon nawahama na tupo wengi.
Halafu hiyo huduma ya yakwako tu inagawa wateja wenu ...kama hamjui. Kumbuke Vodacom ni mtandao wa Mawasiliano Hiyo kuwagawa watu kimatabaka kutokana na hisia zenu wenye we.

Acheni kugawa watu.

Kabla hujahama jaribu kutumia laini ya chuo... Kama hujui njia ya kuifanya laini yako iwe na ofa za chuo unaweza kuja pm nitakusaidia
 
Yan voda huwa sijawahi kabisa kufikiria kutumia.... Nishawah sajili laini ya chuo lakini hata hilo bundle sikulifaidi, mitandao mda wote upo chini yan inasoma H+ lakini kama 2G!! Yan wao mda wote mtandao unasoma E tu!! Afadhali hata airtel speed ya internet yake si haba!! Ila tu nilichokipendea voda labda ile kuweza kuperuzi instagram free hata kama hauna mb ingawa huwezi kuplay videos. Lakini internet yao sijawahi kufurahishwa nayo hata kidogo
 
Yaan kwa dunian ya technology makampuni ya mitandao bora watoe tu dakika iwe full MB
Madakika ya nini....!
 
Ata kifurushi cha chuo nilikuwa nanunua 500 mb 500 wiki wakapunguza mpaka mb 300 leo nashangaa sikuti ata kifurushi cha jero

Serikali ya wanyonge ndo tumekuwa wanyongwa
 
Ata kifurushi cha chuo nilikuwa nanunua 500 mb 500 wiki wakapunguza mpaka mb 300 leo nashangaa sikuti ata kifurushi cha jero

Serikali ya wanyonge ndo tumekuwa wanyongwa
Hii ni hatari sana
 
Ndio nini hiyo?

embu ifafanue maana imenibidi ninunue kifurushi cha ya kwako tuu cha mb 11
Ona
Screenshot_20180925-092935.jpeg
 
Kwanza mna menu complicated, pili gharama za vifurushi vyenu vina mnyima kabisa mtu kujiunga.Mnauza bundle za internet bei ghali.

Angalieni na hali jamani, soon nawahama na tupo wengi.
Halafu hiyo huduma ya yakwako tu inagawa wateja wenu ...kama hamjui. Kumbuke Vodacom ni mtandao wa Mawasiliano Hiyo kuwagawa watu kimatabaka kutokana na hisia zenu wenye we.

Acheni kugawa watu.
Mbona kama unawabembeleza,si uhame tu
 
Back
Top Bottom