nzaghamba
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 1,234
- 1,482
Yap inakubali kwa sasa mwanzo ilikuwa haikubaliInakubali hata kwenye visimu vya tochi (feature phones) mkuu?
Yap inakubali kwa sasa mwanzo ilikuwa haikubaliInakubali hata kwenye visimu vya tochi (feature phones) mkuu?
Menu yake plzChukua line ya voda ya chuo 10,000/= . Kwa tsh 1,500/= utapata 2GB wiki nzima
Utaliwa mimi niliinunua, baada ya wiki tatu wakaondoa offerMenu yake plz
SMART BOY
Simu za double line zikiongezeka ndio watapata akili tuuuhama tu mkuu hakuna haja ya kuwapigia kelele watajiongeza wateja wakipungua
Mkuu naomba hii menukwa baadhi tunaotumia Tigo 1500 tu GB 1.5 wiki nzima....GB 10 mwezi mzima kwa buku 10 na madakika shazi kama yote.....Aah...Nimewapa Promo haaa
Umewaza kuhusu wale wasiopewa vifurushi vya chuo wanavyoumia? MB 500 Kwa sh. 3000Tigo kiboko 1500/=,GB 2 dk 165 sms.za kumwaga week.nzima.cha chuo
Kama uko Dar tumia Dar Super Uni kuna offerkimsingi voda situmii,2000 inapata mb350 siku tano!!!..kweli jamani!!!?
Upo mkoa gan?Mkuu naomba hii menu
Hii ikoje mzee menu??kwa baadhi tunaotumia Tigo 1500 tu GB 1.5 wiki nzima....GB 10 mwezi mzima kwa buku 10 na madakika shazi kama yote.....Aah...Nimewapa Promo haaa