*149*03# chagua Namba 4 halafu endelea
Mimi wananiuzia 250mb kwa saa 24 kwa 1000/=.hiyo ni ya kwako tu sio ya wote tu
hebu cheki hapa ya kwako tu wenzako wanapewa sh ngapi
View attachment 741100
Yani walianza kupunguza kidogo kidogo hatima yake wameamua kupandisha gharama kwa kifurushi kilekile wameanza kumwamaAta kifurushi cha chuo nilikuwa nanunua 500 mb 500 wiki wakapunguza mpaka mb 300 leo nashangaa sikuti ata kifurushi cha jero
Serikali ya wanyonge ndo tumekuwa wanyongwa
Acha uongo.. ni kifurushi gani hiki?VODACOM
2000/= GB 5 mwenzi
sijaona kwingineee
*149*01# ya kwako tu