Tafuta tigo ya chuo, 10k unapata GB 10 na madakika kibao kwa mwezi
Tatizo hamna uelewa wa ITAise me naona huyu MD mpya ni mbovu sana. Tangu aingie yeye ndo vifurushi tunaibiwa balaa, mimi personally nimeibiwa vifurushi nimelalamika wee hamna msaaada. Uozo starts from the top, mbona mwaka jana haikua hivi? Au ni mimi mwenyewe?
Siku ya leo zimeenda 10GB ndani ya lisaaa sijui zimeishaje...Nimeenda mpaka vodashop yani hamna msaada, yani siku nikikaa vizuri hii kesi naipeleka mahakamani nina hamu za million 60 za kumfungulia mamaa duka la nguo maana imekuwa kero sana.
Broo laptop inaonesha nimetumia 1.5 GB kwa mwezi mzima..simu inaonesha nimetuma 1.2 kwa siku 2 ila halali nimeweka GB 10 na message imekuja kwamba zimeisha.... naomba utumi uIT wako unisaidie hapo zimeenda na maji au?Tatizo hamna uelewa wa IT
Ukiwasha data,simu yako au laptop in upgrade software na apps ndani kwa ndani
Fanya settings mashine au simu ikuulize kabla ya kufululiza updates,utaokoa vifurushi vyako
unajiungajeTafuta tigo ya chuo, 10k unapata GB 10 na madakika kibao kwa mwezi
Aise me naona huyu MD mpya ni mbovu sana. Tangu aingie yeye ndo vifurushi tunaibiwa balaa, mimi personally nimeibiwa vifurushi nimelalamika wee hamna msaaada. Uozo starts from the top, mbona mwaka jana haikua hivi? Au ni mimi mwenyewe?