Vodacom CEO Hashim Hendi must go. Tunaibiwa sana bundle

Selwa

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
543
524
Aise mimi naona huyu MD mpya ni mbovu sana. Tangu aingie yeye ndo vifurushi tunaibiwa balaa, mimi personally nimeibiwa vifurushi nimelalamika wee hamna msaada.

Uozo starts from the top, mbona mwaka jana haikua hivi? Au ni mimi mwenyewe?

Siku ya leo zimeenda 10GB ndani ya lisaa sijui zimeishaje. Nimeenda mpaka vodashop yani hamna msaada, yaani siku nikikaa vizuri hii kesi naipeleka mahakamani nina hamu za million 60 za kumfungulia mamaa duka la nguo maana imekuwa kero sana.

KUNA MWANASHERIA HUMU ANISAIDIE NA HILI.
 
Vodacom Tanzania wamezidi sana kutuibi bandle ( data ) zetu..huo ni wizi na uhujumu uchumi namba moja kawahi kutokea nchini
 
Basi wapendwa kama ilivoada kuna muda watz tunaishiwa kabisa ,nikaona sio tabu nivune tuzo kuwa data kama 65MB hivi lakini ile kudownload file lenye 8MB ilifuata meseji ikinijulisha kua salio la MB zangu limekwisha.
Duh nimeona nihamie tigo kwa sasa


NOTE:
#VODA NI MAJAMBAZI YENYE KIBALI CHA KIKAZI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom