Vodacom becoming a very poor mobile service

Selwa

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
543
524
Aise me naona huyu MD mpya ni mbovu sana. Tangu aingie yeye ndo vifurushi tunaibiwa balaa, mimi personally nimeibiwa vifurushi nimelalamika wee hamna msaaada. Uozo starts from the top, mbona mwaka jana haikua hivi? Au ni mimi mwenyewe?

Siku ya leo zimeenda 10GB ndani ya lisaaa sijui zimeishaje...Nimeenda mpaka vodashop yani hamna msaada, yani siku nikikaa vizuri hii kesi naipeleka mahakamani nina hamu za million 60 za kumfungulia mamaa duka la nguo maana imekuwa kero sana.
 
Me airtel waga nikijiunga gb1 natumia siku mbili au moja ila nikijiunga voda ndani ya masaa wamili gb1 inaisha najiulizaga sipati jibu ila saiv nimeiweka kapuni kwanza mambo yakikaa sawa ntaitumia
 
Mie Ijumaa nimenunua Kifurushi cha southern Zone week iliyo pita hadi Sasa sijakipata..... Na pesa nilikatwa kupitia mpesa. Nina diriki kusema hawa ndugu ni wezi. Ni mtandao usio aminika tena.
 
Me airtel waga nikijiunga gb1 natumia siku mbili au moja ila nikijiunga voda ndani ya masaa wamili gb1 inaisha najiulizaga sipati jibu ila saiv nimeiweka kapuni kwanza mambo yakikaa sawa ntaitumia
Tatizo Airtel 4G speed yao ndogo,binafsi voda nimeshawachoka ila kuna wakati huwa natamani niitumie kutokana na kuwa na speed rafiki.

Airtel wakiboresha itakuwa safi ila hawa nyang'au ni kama wanaambiana usishangae siku ukakuta wanatufanyia haya ya Vodacom.
 
Aise me naona huyu MD mpya ni mbovu sana. Tangu aingie yeye ndo vifurushi tunaibiwa balaa, mimi personally nimeibiwa vifurushi nimelalamika wee hamna msaaada. Uozo starts from the top, mbona mwaka jana haikua hivi? Au ni mimi mwenyewe? Siku ya leo zimeenda 10GB ndani ya lisaaa sijui zimeishaje...nimeenda mpaka vodashop yani hamna msaada, yani siku nikikaa vizuri hii kesi naipeleka mahakamani nina hamu za million 60 za kumfungulia mamaa duka la nguo maana imekuwa kero sana..
Njoo mahakamani tukusaidie, hili lilianza baada ya serijkali ya wanyonge kumkataa yule mama mkenya asiwe mkurugenzi alafu wakamchomeka mtu wa sistim, umenielewaaa
 
Kwakweli Vodacom ni full wizi mpaka Profesa Magembe amelalamika bungeni. Mimi nimezoea tigo kuna wakati nilijaribu Voda walinipiga na kunilabua sikurudi tena. Full wizi
 
Aise me naona huyu MD mpya ni mbovu sana. Tangu aingie yeye ndo vifurushi tunaibiwa balaa, mimi personally nimeibiwa vifurushi nimelalamika wee hamna msaaada. Uozo starts from the top, mbona mwaka jana haikua hivi? Au ni mimi mwenyewe?

Siku ya leo zimeenda 10GB ndani ya lisaaa sijui zimeishaje...Nimeenda mpaka vodashop yani hamna msaada, yani siku nikikaa vizuri hii kesi naipeleka mahakamani nina hamu za million 60 za kumfungulia mamaa duka la nguo maana imekuwa kero sana.
Voda kwangu imebaki na kazi ya mpesa tu. Issue za data ni Airtel pekee.
 
Aise me naona huyu MD mpya ni mbovu sana. Tangu aingie yeye ndo vifurushi tunaibiwa balaa, mimi personally nimeibiwa vifurushi nimelalamika wee hamna msaaada. Uozo starts from the top, mbona mwaka jana haikua hivi? Au ni mimi mwenyewe?

Siku ya leo zimeenda 10GB ndani ya lisaaa sijui zimeishaje...Nimeenda mpaka vodashop yani hamna msaada, yani siku nikikaa vizuri hii kesi naipeleka mahakamani nina hamu za million 60 za kumfungulia mamaa duka la nguo maana imekuwa kero sana.
Achana na mtandao huo Wa hovyo sana
 
Sijawahi kutumia voda na sitakujawahi kuitumia.sitaki taabu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom