Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Umekosea njia mkuu
wamechakachua salio,hadi amepotea njia!!!!
tumsamehe bure
Umekosea njia mkuu
Simiyu yetu kwani mtandao uko mmoja tuMkuu hawa voda wahuni ni wezi na wizi huu wameanza kitambo sana hiyo kodi ni mwisho wa mwezi halafu ni 1000 tu mbona wanakata hovyo tu hata kwenye mda wa hewani.
Mkuu hili swala linapashwa kufikishwa TCRA fasta, naona kuna jamaa wame-manipulate system - juzi niliweke vocha ya elfu kumi na nikaweka code ya ku-activate vifurushi vyao, baada ya kukubaliwa nikampigia simu ndugu yangu mazungumzo yetu hayakuzidi dakika mbali - nilishangaa nilipo ambiwa salio langu alitoshi kupiga simu nyingine!!! Mwanzo nilifikili kuna kitu nimekosea, jana nikaweka vocha ya elfu tano mambo yakajirudia yale yale! Which means hii ni delibarate means za kuwahibia WATEJA, wizi uliyo kubuhu! Airtel hawana tatizo kabisa natumia services zao bila tatizo lolote. VODACOM wanapashwa kushtakiwa kwa kufanya wizi wa mchana. Binafsi nimehamua kutupilia mbali SIM card zao, hawafahi kabisa.
hapa kaka nimeunga 450 cha kushangaza wamelima mpaka cheji yangu iliyobaki
Mimi hiyo imenikuta mara nyingi mpaka nimezoea sasa. Nilichofanya nikutoa laini hiyo na kuweka Airtel.hapa kaka nimeunga 450 cha kushangaza wamelima mpaka cheji yangu iliyobaki
Hatamimi ilikwisha [COLOR=#f0000]nitikea[/COLOR].
Voda mmekua matapeli, haiwezekani leo naweka vocha dheni inaingia na [COLOR=#f0000]kutowema[/COLOR] ghafla hapo hapo naambiwa salio [COLOR=#f0000]langi[/COLOR] halitoshi, kama ndio tunaanza kulipa code kwa staili hiyo mtujize wateja wenu
tutakimbilia wapi sasa,
polisi watupige mabom,
voda watuibie mtandaoni,
ccm wasafirishe wanyama pori wetu,
hizo ni fikla zako tu
Mkuu hii sio promo kweli!!!!Mkuu hili swala linapashwa kufikishwa TCRA fasta, naona kuna jamaa wame-manipulate system - juzi niliweke vocha ya elfu kumi na nikaweka code ya ku-activate vifurushi vyao, baada ya kukubaliwa nikampigia simu ndugu yangu mazungumzo yetu hayakuzidi dakika mbali - nilishangaa nilipo ambiwa salio langu alitoshi kupiga simu nyingine!!! Mwanzo nilifikili kuna kitu nimekosea, jana nikaweka vocha ya elfu tano mambo yakajirudia yale yale! Which means hii ni delibarate means za kuwahibia WATEJA, wizi uliyo kubuhu! Airtel hawana tatizo kabisa natumia services zao bila tatizo lolote. VODACOM wanapashwa kushtakiwa kwa kufanya wizi wa mchana. Binafsi nimehamua kutupilia mbali SIM card zao, hawafahi kabisa.
wamechakachua salio,hadi amepotea njia!!!!
tumsamehe bure
Voda ni kampuni niliyokuwa naiamini sana , lakini sasa wameanza mambo ya wizi wazi wazi, hasa unapojiunga cheka ya muda mfupi , unajiunga 400 dk 10, unapigia mtu mmoja hata dakika 3 hazijaisha , sms inaingia ndugu mteja muda wako wa cheka umeisha , jamani huu si wezi ?
yeah! hapo umenena kaka, me nimetupia 500 langu. ikaingia ile naunga cheka ikakubali. ile napiga naambiwa sina salio lakutosha kuniwezesha kupiga cm. ile nawapigia voda wanasema kweli, ila nipige baada ya masaa matatu waangalie salio langu limeenda wapi. nimepiga tena wananipa sound
Far from it, hakuna mambo ya promo wala nini wezi lazima wahanikwe adhalani - hatuwezi kufumbia macho kampuni zinazo wa rip off wananchi, sijapata tatizo kutoka mtandao wa AirTel na Tingo sasa kuna ubaya gani kusifia kampuni zenye UTU, inawezakana mitandao yote ina ujanja fulani wa kujinufahisha lakini huu wa VODA nikisema ni ujambazi ntakuwa sikosei. Mtu unawezaje kutumia elfu kumi within two minutes wakati unahongea within TANZANIA - hii inahingia akili kweli?Mkuu hii sio promo kweli!!!! Ko unatushauri nasi tutupe line za voda ili tubaki na airtel si ndio! Acha hiyo mambo chalii yangu. Mi ninavyoona mitandao yote ina namna ya kuwaibia rai
Voda ni kampuni niliyokuwa naiamini sana , lakini sasa wameanza mambo ya wizi wazi wazi, hasa unapojiunga cheka ya muda mfupi , unajiunga 400 dk 10, unapigia mtu mmoja hata dakika 3 hazijaisha , sms inaingia ndugu mteja muda wako wa cheka umeisha , jamani huu si wezi ?
tutakimbilia wapi sasa,
polisi watupige mabom,
voda watuibie mtandaoni,
ccm wasafirishe wanyama pori wetu,