Voda watoa 4G LTE

Duh kweli ndio nimetoka kutest hata mimi sasa hivi Nimeona nimeenda chaka na hizi converter za Google.
Wao wansoma hii mb/s kama megabyte.
Mkuu wametoa na modem zao za 4G?
nikazinunue maana naona tigo uchwara tuu.
 

Chief hapa ulitaka kusema nini au umeahirisha?
 
Kwa mfano hupo kijijini mitandao unasoma E unatumia cm yenyeuwezo wa 4G na unaline ya 4G Je unaweza kupata speed kubwa ya hio 4G?MSAADA tafadhari
 
Mimi huwa najali sana ping, ikiwa chini ya ms 20 consistently... Hata kama down na up speed ni 1mbps inakuwa fresh sana... Ila uzushi wa hii mitandao unakuta una down 20 mbps up labda 10 Mbps lakini pinhi 300 ms..... Aaaagh... Hamna kitu...
 
hivi kweli naweza kutumia iyo line ya 4g ktk moderm ya kawaida au kuna moderm za 4g?
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…