VOA, Kipindi cha Straight Talk Africa, Lowassa will win

VOA, Kipindi cha Straight Talk Africa, Lowassa will win

Ni sawa na kusema maji yatiririka kwenda bondeni.
 
Labda awe rais wa taarabu. CCM itashinda ikibidi kuiba kura tutaiba na hakuna mtakalo weza kufanya. Hii nchi ni yetu sisi, nyie mnaishi tu humu.
 
Lowassa can win election, katika kipindi cha Straight Africa mgeni kwenye kipindi amesema kuwa Edward Lowassa ana uwezekano mkubwa wa kushinda kwa sababu ana wafuasi wengi ambao ni vijana na ndio wapiga kura.

Mkuu usiseme mgeni bila kumalizia, sema prof.Boaz mhadhiri wa chuo kikuu cha Maryland.
 
indeed na ni kama mm hapa. Kura yangu kwa Lowassa
 
Back
Top Bottom