VOA, Kipindi cha Straight Talk Africa, Lowassa will win

Kashawambia hatma yake kisiasa, bado mna muda wa kumjadili.!!?
 
Jana nimekiangalia kile kipindi,yule mzee mchambuzi wa siasa kutoka Uganda nilimpenda bure.
Alikuwa anaongea bila kupepesa macho kwamba CCM wameshindwa kwa zaidi ya miaka 50 kutuletea maendeleo na kutimiza ahadi/ilani zao.
Ila Shaka naona alikuwa analeta ukakasi kidogo,ila yule mzee Mungu ambariki.
Shaka alisemaje?
UKAWA: Alafu jana 'mmesikia' mnayotaka kusikia, mmesahau STAR TV mnaipiga vijembe kila siku?
 
Vijana cyo wapiga kura nchi hii. Ni wanawake na waliopo vijijini. Mheni rasmi ni nani hadi atusemee watanzania mil 22? Amefanya research au utashi wa moyo wake? Mtanyooka tu safari

Safi sana kwa comment yako, nilitaka kumquote mtu ktk comment yake humu aliyedai kiwa vijana wengi ndo wafuasi wa Lowassa.
 
Vijana cyo wapiga kura nchi hii. Ni wanawake na waliopo vijijini. Mheni rasmi ni nani hadi atusemee watanzania mil 22? Amefanya research au utashi wa moyo wake? Mtanyooka tu safari

Wanawake mnaowapa kanga, flana na kofia, na buku 7
 
Lowassa can win election, katika kipindi cha Straight Africa mgeni kwenye kipindi amesema kuwa Edward Lowassa ana uwezekano mkubwa wa kushinda kwa sababu ana wafuasi wengi ambao ni vijana na ndio wapiga kura.

Ukweli ni kwamba prof mwenyews hata hajui local politics za Tz. Na yule wa ivory coast anajaribu kufanya comparison ya contemporary african political parties vs ccm. Ni tofauti ndio maana ccm imedumu kwa niaka mingi. Lowasa hata bbc kashindwa kuekeza ataitoa vip hiyo free esucation mapovu tu....magufuli mbele kwa mbele.
 
Soma muhtasari wa kikao cha chadma 3 oktoba mwaka huu ujue bodax2 na wanywa viroba wanalipwa ngapi kuleta fujo njiani. Mimi nisimpe kitenge ndugu yangu nimpe nini kokoto? Mabadiliko ya kula kokoto badala ya karanga nayo ni mabadiliko au kuzungusha mikono hewani siyo mabadiliko? Aga uje wala usitoroke
 
Kwani kuangalia VOA lazima utune STARTV?

Sio lazima, ila usijitoe ufahamu, asilimia 90% ya watz na wachangiaji humu wanaodai waliangalia voa waliangalia kupitia star tv, na kama wewe upo tz nina uhakika nawe pia uliangalia kupitia star tv.
 
Lowassa can win election, katika kipindi cha Straight Africa mgeni kwenye kipindi amesema kuwa Edward Lowassa ana uwezekano mkubwa wa kushinda kwa sababu ana wafuasi wengi ambao ni vijana na ndio wapiga kura.

endeleeni kujipa moyo tu sie tumejichimbia vijijini kwenye wapiga kira wengi tutakutana tarehe 25
 
Vijana cyo wapiga kura nchi hii. Ni wanawake na waliopo vijijini. Mheni rasmi ni nani hadi atusemee watanzania mil 22? Amefanya research au utashi wa moyo wake? Mtanyooka tu safari

Mkuu hebu acha upimbi hayo ya mgeni rasmi umeyatoa wapi?
 
Ushindwe na ulegee mimi ni mtu na mwenye timamu siyo pimbi. Cjui wewe labda tunachat na shetani maake unashindwa kutofautisha mtu na mnyama
 
Sio lazima, ila usijitoe ufahamu, asilimia 90% ya watz na wachangiaji humu wanaodai waliangalia voa waliangalia kupitia star tv, na kama wewe upo tz nina uhakika nawe pia uliangalia kupitia star tv.
Hiyo research ya 90% umeitoa wapi?
 
nimeangalia comment ya kwanza mpaka ishirini zote zinafanana ndio mana wanawaita nyumbu haiwezekani mawazo ya watu wote kua yanafanana lazima kuwe na utofauti kidogo.

inategemea utofauti wenyewe ni upi usije andika pumba kisa unataka uwe tofauti
 
Kwani kuangalia VOA lazima utune STARTV?

achana nae ana kakisembusi ka star times anaangalia chaneli za bure

Ukweli ni kwamba prof mwenyews hata hajui local politics za Tz. Na yule wa ivory coast anajaribu kufanya comparison ya contemporary african political parties vs ccm. Ni tofauti ndio maana ccm imedumu kwa niaka mingi. Lowasa hata bbc kashindwa kuekeza ataitoa vip hiyo free esucation mapovu tu....magufuli mbele kwa mbele.

esucation ndio nini??
umehemka weee afu umeboronga.
 
Shaka alisemaje?
UKAWA: Alafu jana 'mmesikia' mnayotaka kusikia, mmesahau STAR TV mnaipiga vijembe kila siku?

Wewe Falla niliangalia star tv sababu nilisikia Lowassa anahojiwa BBC bahati mbaya nikachelewa,mara ikaanza VOA ndio ikabidi niangalie baada ya kuona mzee genius wa Uganda anamwaga madini.
 
Back
Top Bottom