Labda awe rais wa taarabu. CCM itashinda ikibidi kuiba kura tutaiba na hakuna mtakalo weza kufanya. Hii nchi ni yetu sisi, nyie mnaishi tu humu.
Pia tukumbuke kuna suala la kushinda uchaguzi, na suala la kutangazwa mshindi
Labda awe rais wa taarabu. CCM itashinda ikibidi kuiba kura tutaiba na hakuna mtakalo weza kufanya. Hii nchi ni yetu sisi, nyie mnaishi tu humu.
Labda awe rais wa taarabu. CCM itashinda ikibidi kuiba kura tutaiba na hakuna mtakalo weza kufanya. Hii nchi ni yetu sisi, nyie mnaishi tu humu.
Labda awe rais wa taarabu. CCM itashinda ikibidi kuiba kura tutaiba na hakuna mtakalo weza kufanya. Hii nchi ni yetu sisi, nyie mnaishi tu humu.
Labda awe rais wa taarabu. CCM itashinda ikibidi kuiba kura tutaiba na hakuna mtakalo weza kufanya. Hii nchi ni yetu sisi, nyie mnaishi tu humu.
Labda awe rais wa taarabu. CCM itashinda ikibidi kuiba kura tutaiba na hakuna mtakalo weza kufanya. Hii nchi ni yetu sisi, nyie mnaishi tu humu.
Jitekenyeni na kufurahi...mgeni mwenyewe ni nani?
Ujiandae kupanga foleni Muhimbili kwaajili ya zoezi hilo.mjitekenye tuuu mtu mwenyewe kapigwa maswali BBC ya saa 3 usiku alikuwa anabwabwaja tuuu Ndio ashinde na sisi watanzania inabidi tukapimwe akili ikiyokwa
Mkuu usiseme mgeni bila kumalizia, sema prof.Boaz mhadhiri wa chuo kikuu cha Maryland.
nimeangalia comment ya kwanza mpaka ishirini zote zinafanana ndio mana wanawaita nyumbu haiwezekani mawazo ya watu wote kua yanafanana lazima kuwe na utofauti kidogo.