Vivuli vitatu

Yule Mwandishi wa Riwaya ya KIVULI KINAISHI atakuwa ana maarifa juu hii kitu! Hakuna kitu kipo pasi na sababu! Kwa idadi ya hivyo vivuli kuna la kujifunza hapo!
 
usiseme ndugu mwandishi, sema mh mtaalam wa mambo mazito
Yesu ndiye mtaalamu wa mambo mazito pekee lakini huyu bado hajafikia na hatafikia hata theluthi ya ukuu wa Mungu.

So usimsifie saaaana bali mkubali katika hali ya kawaida usijejikuta ukamkufuru Mungu wako bure, ndiyomaana hata naye katuagiza kuwa "msijisifu bure katika kila jambo" hiyo yote ni sababu kila jambo kwetu sisi Binadamu hupewa karama ya kujua uzuri na ubaya wake toka kwa Mungu pekee kupitia Roho Mtakatifu.

So kuwa makini sana Mpendwa katika kuuchunga ulimi wako kama tunavyoagizwa toka katika kitabu cha Methali.
 
ASANTE KWA MSISITIZO WA UPEO WAKO BORA MPENDWA.
 
You're so deeply smart Mr, thanks for your comments.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani nashindwa kuelewa sisi Watu sijui tuna matatizo gani ya akili, ni jambo la kukushukuru tu kwa kiasi lakini anataka avuke mipaka hadi amkosee heshima anayetupatia pumzi?

Maana hata Yesu alipoitwa "MWEMA" alikataa kuwa hakuna aliye MWEMA isipokuwa ni Mungu pekee, Watu hawajui kwanini Yesu alikataa kuitwa MWEMA ikiwa wakati huo alikuwa ni Binadamu kwa 100% pia ni Mungu kwa 100%.

Yote hiyo ni sababu mambo ya kujikweza/kujiona uko juu kuliko Binadamu wote huwa Mungu hapendezwi nayo kabisa sababu ndiyo chanzo cha kutuweka katika dhambi ya kiburi ambacho alikifanya Lucifer kule mbinguni, alipokuwa anataka kujipandisha hadhi ya ukuu kuliko Yehova/Yawe, na hatimaye Mungu alimshushia hicho kiburi kwa kumkabidhi tu Yesu pekee akamshughulikia vizuri sana tu shetani ambapo hadi leo hii amejikuta kanyang'anywa kabisa mamlaka ya kushindana na Mungu katika jambo lolote bali maisha yake siku zote ni kuzimu tu akisubiri adhabu yake ya kutokomezwa milele.

Na hii ilimfanya shetani alishindwa hata kutubu alipopewa muda na Mungu wa kuomba rehema zake sababu Mungu ni upendo.

So nilikuwa namsahihisha tu kijana asivuoe mipaka mkuu lakini kama nawe nilikukwaza kwa namna 1 au nyingine, tafadhali sana niwie radhi Mr ili ukweli uendelee kunenwa vyema machoni pa Watu.

Tusije tukahukumiwa kwa ile dhambi ya "ukinionea aibu mbele za Watu nami nitakuonea aibu mbele za Baba yangu" nimenukuu jinsi alivyotuagiza Yesu.

Yote katika yote, nashukuru sana Mr Mshana kwa elimu yako nzuri ya mambo ya rohoni.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]asante sana napokea kwa unyenyekevu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…