Vivuli vitatu

Siyo mchezo
Vipi kuhusu MASONIC members mana nasikia hawana vivuli
 
Hata kwenye ishu za misukule kinachobakishwa ni kivuli chako ndio maana yakifanyika mambo kaburi likafukuliwa kinachoonekana ni mgomba
 
Hapo sawa ,,tukio kama hilo nilishuhudia kwa macho yangu
Miaka mingi iliopita nikiwa mdogo
Lkn skuelewa maana yake lkn nilipouliza nikaambiwa hivyo kua mtu huyu anakingwa,,nilipuuzia

Sasa mwaka 2012 nilienda kijijini kusalimia kufika nikamkuta yule mama ni mlemavu wa mguu hlf mwanae mmoja wa kiume amekua kichaa
Nikauliza kwa mzee mmoja hv wa busara ambae miaka ile ya 90+ nilimuona ktk tukio lile la yule mama
Ndo akaniambia kua yule mama alikingwa na viapo vilivyotumika ni kua yeyote atakae jaribu kumuondoa kwenye uso wa dunia basi aharibikiwe...
Sasa mwanae alienda kwa mganga kutafuta utajiri ndo akaambiwa mama yako ndo utajiri wako,,
Basi wakafanya yao na mganga
Kilichotokea yule mama aligongwa na gari akiwa nje ya nyumba hlf ukuta ukamfunika,,,
Aliumia mguu tuu na mbavu,

Baada ya hapo ndo mwanae akaanza kuropoka kila kitu alichofanya ,,
Mpk sasa jamaa kichaa
Mama yake maisha yanaenda

Haya mambo yapo
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Hapo kwetu tukishapata nyayo zako tu...Hapo ndio unapakuliwa Wali Mchuzi Juu[emoji1321]
 
Mkuu mshana jr huku ndiko unakowezea kiukweli na unatoa madini yenyewe. Kule kwenye majukwaa ya sijui uraia na siasa paache. Big up kwa elimu murua.
 
Mkuu mshana jr huku ndiko unakowezea kiukweli na unatoa madini yenyewe. Kule kwenye majukwaa ya sijui uraia na siasa paache. Big up kwa elimu murua.
[emoji115] [emoji120] [emoji106] [emoji3] [emoji123]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…