Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,261
- 18,256
Teh, sawa nilikua natania,Mmh hii sijawahi kusikia nijuavyo ni kwamba vivuli huwa virefu ama vifupi kutokana na mzunguko wa jua lakini kukosa kabisa sijawahi kuona
Mh. Mtaalam.
Teh, sawa nilikua natania,Mmh hii sijawahi kusikia nijuavyo ni kwamba vivuli huwa virefu ama vifupi kutokana na mzunguko wa jua lakini kukosa kabisa sijawahi kuona
Chochote kinachofanyika kwenye ishu za kiroho kuhusiana na vivuli ni kivuli kidogo kivuli cha ndani ndio hutumikaAisee Mshana ule uchawi wa kunyofoa kivuli cha mtu wanatumiaga hii knowledge ya vivuli??
Wanayofoa kivuli gani kati ya hivyo vitatu.
Kuna jamaa yangu mmoja nilisikia aliwahi kunyofolewa kivuli alikuwa anatembea kama "li kopo" tu, kuna ukweli juu ya hili??
Bro Mshana, hii nimehadithiwa na mtu kuwa yeye binafsi(alienihadithia) ilishawahi kumtokea. Hata katika jua kali hakuwa akikiona kivuli chake.Mmh hii sijawahi kusikia nijuavyo ni kwamba vivuli huwa virefu ama vifupi kutokana na mzunguko wa jua lakini kukosa kabisa sijawahi kuona
Kivuli kidogo kivuli roho ndio kila kituInasemekana kuna watu hawana vivuli kwa sababu kuna stori moja kipindi gani kile cha Fredrick bundala Kuna stori ya jamaa alipewa dawa ili apenye ukutani kutokana na janga lililokuwa linamsibu ndani ya nyumba fulani.
Cha ajabu ilishindikana kwa sababu baada ya manuizi kuna nguvu ilikuwa inamsukuma, kama inapata ukinzani fulani halafu anarudishwa ndani.
Mtaalam ingawa alikuwa mtoto kiumri akamwambia hataweza kumsaidia zaidi kwa sababu kwa utaalam wake amegundua jamaa hana kivuli ambacho hutumika kwenye kupita sehemu ambazo hazipitiki kwa kawaida na huwa kinatangulia kimoja kwanza kati ya kivuli au mwili. Yaani kivuli ni kama mdhamini sijui tuseme.
Ni mambo ya kamati za ufundi tyuu.....Wewe ndio umeniogopesha jaman duuh! Mtu kafa wakati namuona!
Utani huo.
Hujawahi sikia mtu anasimama kwenye mwanga na hatokei kivuli, teh teh teh
Siogopi ila napenda kuzungumza kitu nacho kifahamu au nimekielewaAh ah ah unaogopa?
Njoo na maandiko nitakuelewa zaidiNitakuja na maandiko.
Bt hiyo ni NAFSI pia.
Utu wa ndani
I like U,upo vizuri sana maana umenishawishi kiasi fulai kufuatilia Nyuzi zako kama mshana jr huwa nampenda sana mara nyingi ananiambia vitu navyotaka kusikia,naona na wewe umeingia pale napopatakaLeo Roho Mtakatifu kaniongezea nafsi; ndio maana Yesu alitoa nafs yake ife kwaajili yetu
Hakutoa mwil tu; bal aliitoa nafs; nafs ikifa mwil nao unakufa.
Ndio maana mtu akifa anaanza kufa nafs baadaye mwil
Ni hivi; upendo unaanzia ndan ya nafsi; na Yesu ni pendo; upendo wake unatoka ndan ya Nafsi ndio maana aliweza kufa kwaajil yetu;
Lakin kama tu angesema afe tu bila upendo utokao ndan ya nafsi maut yake ingekua ni bure.
Mungu asemapo yeye ni pendo alimaanisha upendp utokao ndan ya nafsi.
Sababu ktk 1corintho 13:1-8
Anasema nikitoa mwil wangu uungue moton kama sina upendo mm ni bure au nikilisha masikin kama sina upendo ni bure kabisa
Ndio maana upendo unaweza ficha vingi ni kwasababu tu nafsi imejificha hatuwez iona
Na ndio maana mtu unaweza mpa pesa lets say wadada; ile kuhonga kama huna upendo ni bure kabisa
mfano
Upendo ukitoka ktk nafsi ni mzuri.
Yesu alipokufa hakufa mwil kwanza; nafsi ilizikwa kwanza baadaye ikafuata mwil na baadaye akafufuka.
Ina maana tunaweza kuzifufua nafsi zilizo kufa sababu tayar kuna mtu alitoa nafs yake ife kwaajili yetu
Nafs ni kitu kikubwa sana ktk ulimwengu wa roho
Hata alipofufuka tunaona kabisa mwil wake haukuoza aliondoka na mwil kupaa mbingun
Unajua kwann?
Ili shetan asiutumie kufanya fojery maaana yy ni mzee wa kucopy
Alipo fufuka sasa akaja na mwil mpya ule wa mwanzo ukaondoka ambao ni wa nyama ( nahis ulibak mbingun)
Mungu akampa mwil mpya
Yaan ule utu 2 za ndan( 2 shadows)
Ndio maana hatuwez mshika had tuwe ktk ulimwengu wa roho
Sababu huu mwil hauwez kuingia ktk mbingu tu
Sasa zinabak zile nafs( 2shadows) ambazo we cant touch
Hizo ndio tunawasiliana ktk ulimwengu wa Roho na Mungu au hata ukiota utajiona upo mahal fulan; huondok na huu mwil wa nje bal zile utu 2 ( 2shadows)
Ukiamka ndio unajikuta kumbe ndoto kumbe zile utu 2 ziliondoka kwenda mahal fulan sasa zimekurudia ktk jumba lake( outer shadow)
Ina maana zinabak 2 shadows ambazo inabeba utu wako wa ndan tayar ile inner shadow( small 1)
So haya tuliyo nayo ni majumba tu yamebeba 2shadows
Ndio maana unafuatisha tamaa za dunia hii cz nia yake ni kifo na si kuishi
Wenye nia ya kuish ni utu wa ndani
Galatia 3:4
Ambaye alijitoa nafsi yake kwaajili ya dhambi zetu; ili atuokoe na dunia hii mbovu iliyopo sasa
Dhambi inaanzia ndan ya nafsi ndio maana amesema ametoa nafsi kwaajili ya dhambi.
Nafsi ni kiini cha uhai.
Lets say yai bila egg yolk haiwez kuwa yai
Ndivyo ilivyo mwil wa nje bila inner shadow hauwez kuishi
NB.
Nimecopy hizo sms sababu ningekosa muda wa kuandika kama hivyo
Ukiona kimepungua kitu kasome tena tena utakuta mengi kuliko hayo.
Mungu awalinde
Mkuu huwa nasikia kuwa km ukitolewa kinvuli mchawi hawez kukuroga. Ni kweli?Kusema ni rahisi kuliko kutafsiri ulichokisema
sawa mkuuHili nahitaji kulitafiti zaidi nisije nikapotosha
Namna hiyo sasa
Kaka Mshana asante kwa somo la vivuli, ni kweli kabisa tangu nikiwa kijijini miaka ya 1993 nilikuwa nikijiuliza sana maana nilikuwa naona vivuli vyangu vitatu baadae nikapata majibu...ila pia nikaja kusikia uvumi, naita uvumi kwani bado sijajiridhisha iwapo ni kweli au la...eti Mamba anaweza kuua mnyama au mwanadamu kwa kukamata kivuli chake na hivyo mtu huyo kushindwa kukimbia na kujikuta akidakwa kiurahisi, je hili swala lina ukweli wowote ule???Hili nahitaji kulitafiti zaidi nisije nikapotosha