Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,239
Huyo ni seller ndio anaamua hivyo, Wasiliana nae kama Ana njia hio atakwambia.Asante sana. swali la mwisho, hapa kwenye shiping ya hizi nimeona wanatumia standard ambayo ni siku 46. Hakuna option ya kubadilisha na kutumia kama Fedex au Dhl ? nifanye kulinganisha na bei zake
Kuna mahali nimeona hii kitu,nayo vipi inasolve Hilo tatizoHeadphone zinakuwa na hizo tech built in, zile za bei ghali,
Pia kuna external amplifier unazo connect kwenye USB. Kama upo tayari kubeba mzigo.
Hivi redmi note 9s ina hiyo DAC?Headphone zinakuwa na hizo tech built in, zile za bei ghali,
Pia kuna external amplifier unazo connect kwenye USB. Kama upo tayari kubeba mzigo.
Hii ni passive adapter kwa muonekano, haina chochote ndani tofauti na kubadili port.Kuna mahali nimeona hii kitu,nayo vipi inasolve Hilo tatizo
Inayo mkuu, ila sifahamu quality yake ipoje, unaweza kui Google chip husika inaitwa WCD937XHivi redmi note 9s ina hiyo DAC?
Hii ni passive adapter kwa muonekano, haina chochote ndani tofauti na kubadili port.
Kitu kama hiki kinahitajika
kuboost sauti, bei zake ndefu lakini, hicho nilichopost ni kama 250,000. hapo bado hujatafuta headphone za kutake advantage ya hio nguvu.Kazi ya hii kiongozi ni ipi nitumie kwa note 10 yangu
kuboost sauti, bei zake ndefu lakini, hicho nilichopost ni kama 250,000. hapo bado hujatafuta headphone za kutake advantage ya hio nguvu.
Mbona samsung zote hata j1 inakua na mfumo mzuri wa audio,yani ukiongezea na app kama poweramp ndo inakua balaa zaidiHahaaa heri uuze simu uongezee tu pesa kupata device ya mfumo mzuri wa sauti basi kuliko kununua hii
Mkuu hata mie nimekuwa nikijiuliza kwa nini watu wanaidharau sana MTK?? Sijapati Jibu la kuniridhisha!Tabia ya kuidharau MediaTek tutaiacha kama hizi EV cars zitaendelea kula processors nyingi. Mediatek Dimensity 1000 na 1200 zimekuja kwa wakati sahihi ambao vifaa vinavyotaka chips ni vingi mpaka products kubwa za wengine kama Exynos na Snapdragon zinazidiwa orders.
Mediatek sio mbaya kama tunavyoichukulia angalia performance yake miaka hii miwili kwenye testing kama Geekbench na AnTunTu.
Kwa midrange za hadi 1.2M hakuna sababu ya kuidharau MTK. Tutaikataa tukianza zungumzia flagship
MTK mpya zipo vizuri perfomance wise, ila mpaka leo makampuni Yana Tabia ya kuchagua MTK mbovu na kuuzia watu, mfano Helio p22 imetumika sana na sio tu makampuni madogo even makampuni makubwa kama Samsung, Oppo, vivo etc wanatumia, wanachofanya wanakujazia storage kubwa na ram kubwa unaingia kichwa kichwa simu ina 4gb ram unanunua.Mkuu hata mie nimekuwa nikijiuliza kwa nini watu wanaidharau sana MTK?? Sijapati Jibu la kuniridhisha!
Ok so kama naangalia MTK zipi ni nzuri zaidi ya uliotaja?MTK mpya zipo vizuri perfomance wise, ila mpaka leo makampuni Yana Tabia ya kuchagua MTK mbovu na kuuzia watu, mfano Helio p22 imetumika sana na sio tu makampuni madogo even makampuni makubwa kama Samsung, Oppo, vivo etc wanatumia, wanachofanya wanakujazia storage kubwa na ram kubwa unaingia kichwa kichwa simu ina 4gb ram unanunua.
Kikawaida MTK zina mapungufu haya kwa hizi za kisasa.
1. Drivers za GPU si nzuri na hili si la MTK hata kirin za Huawei na Exynos za Samsung wote wanatumia Mali GPU, drivers zake si nzuri compare na Adreno za Snapdragon, hasa drivers za open Gl. Kuna baadhi ya apps unakuta soc ya snapdron inatumika simu za laki 3 ina perform vizuri kuliko mediatek ama Kirin za milioni.
2. MTK hawatoi source code za chip zao, hii ina leta ugumu kwa madeveloper kutengeneza software mbalimbali kwa ajili ya simu, vitu kama Mods, custom rom etc ni ngumu kutengeneza kwenye simu za MTK.
Mambo ambayo wame improve (mtk za kisasa tu za dimensity ama Helio G series)
-wame improve ukaaji chaji Sababu siku hizi wanatumia manufacturing process za kisasa
-perfomance si haba mpaka simu za low end wanaweka cores kubwa
Mwisho wa siku mkuu, ukiamua kuchagua simu ya MTK basi Hakikisha kwenye price point hakuna Snapdragon inayokaribia hio perfomance, ila perfomance zikiwa sawa Chukua tu snapdragon.
Xiaomi huwa anajua sana kutumia MTK, mfano redmi 9 kwa around laki 3 ina helio G80, hakuna snapdragon kwa price point hii inayofikia perfomance yake. Hivyo unajifuta machozi kwa kupata perfomance kubwa kufidia hizo weakness.
Ndio kuna series za G Angalia G70 kupanda, na zipo Dimensity nazo ni nzuri.Ok so kama naangalia MTK zipi ni nzuri zaidi ya uliotaja?
Asante sana Mkuu..sasa nimepata MuongozoNdio kuna series za G Angalia G70 kupanda, na zipo Dimensity nazo ni nzuri.
Ila ili usihangaike kukariri majina zifahamu tu core za Arm core kubwa ni A78, A77, A76, A75 etc core ndogo ni A55, A53, A35 etc.
Unaangalia specs za core, Ukiona ina core ndogo tupu ujue hio ni low end unless unanunua laki 2 kushuka achana nayo.
Vivo na MediaTek ni kama tako na chupiRedmi na LCD ni kama paka na maziwa
Vivo za Tanzania hizi, wanazouza India huko nyingi ni Sd.Vivo na MediaTek ni kama tako na chupi
Sawa chiefVivo za Tanzania hizi, wanazouza India huko nyingi ni Sd.
Hizi simu zinafanana kuanzia Display, Perfomance, ukaaji chaji etc. Binafsi ningechukua note 10 5G sababu ya 5G.Sawa chief
Ila naomba tu kujua kati ya hizi simu mbili
Xiaomi POCO M5 Vs Xiaomi Redmi Note 10 5G
Ipi inafaa kununua ikiwa umekuta zinauzwa bei moja?
Asante mkuuHizi simu zinafanana kuanzia Display, Perfomance, ukaaji chaji etc. Binafsi ningechukua note 10 5G sababu ya 5G.
Ila kama unaweza afford note 12 ni much better kwa ajili ya cpu yenye nguvu na Amoled display.