At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,566
- 3,642
Ni kweli kabisaKwa anajua kuusu simu za vivo atupe mwanga kidogo nasikia ni simu nzuri kwa sasa ukiachana na samsung na iphone.
Asante na wasilisha.
Cc chief Mkwawa
Mkuu nichekie hz bands kama zinaweza kufanya Kazi TanzaniaMoja ya Sababu ya simu za xiaomi kuwa bei rahisi ni kwamba wanauza tu online, hawahangaiki na mambo ya supply, logistic, support etc.
Kwa kenya Angalia jumia, avechi etc utazikuta.
Kuhusu utofauti wa hizo simu 9 na 9T zipo level nyengine kabisa kuliko 9A na 9C.
Mfano processor za 9 na 9T zina core kubwa zenye nguvu hivyo kuweza kufanya task mbalimbali kwa ufanisi kuliko 9c na 9A zenye processor ndogo.
9 na 9T zina vioo vya full HD wakati 9a na 9c Wana vioo vya HD kawaida.
Same kwa mambo mengine kama camera.
| 2G bands | GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 - SIM 1 & SIM 2 |
| 3G bands | UMTS 900 / 2100 / 850 |
| 4G bands | LTE band 1(2100), 3(1800), 5(850), 7(2600), 8(900), 38(2600), 40(2300), 41(2500) |
Band 3, 7 na 40 hapo zinafanya kazi Tanzania, band ambayo haipo ni 20 (800) hii inatumika na Tigo nje ya miji na Smile kama bado wapo.Mkuu nichekie hz bands kama zinaweza kufanya Kazi Tanzania
2G bands GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 - SIM 1 & SIM 2 3G bands UMTS 900 / 2100 / 850 4G bands LTE band 1(2100), 3(1800), 5(850), 7(2600), 8(900), 38(2600), 40(2300), 41(2500)
Tekno bado wanapungufu mengiHuawei hawezi kuja tena Afrika kwa vile hatumii Android na hana Google support. Atabaki China tu
Kwanza unalinganishaje Tecno na simu. Hivo vidude vinaitwa Tecno ndio ulinganishe na Vivo, Oppo, Xiaomi?
Unakosea sana
Mediatek chipset,inahusika na speed performance ya simuMTk ukiwa unamaanisha nini
Mkuu unatumia vivo gani hiyo mbona mimi kunajamaa anatumia vivo hayo matatizo hayapoStucking all the time...Imagine kufungua txt ya kawaida tu might take 40sec,poor camera quality,network yake ipo slow kusupport sim card..hayo ni machache
Kwanini haukumuuliza huyo jamaa wako kabla ya kuja kuuliza humu?Mkuu unatumia vivo gani hiyo mbona mimi kunajamaa anatumia vivo hayo matatizo hayapo
Asante...tena anadai matatizo hayapo!!Sasa sijui anaiulizia kwa wanaojua zaidi kwa ajili ya matatizo ambayo hayapo..SmhKwanini haukumuuliza huyo jamaa wako kabla ya kuja kuuliza humu?
Nimenunua 9a bado nawachunguza Kwanza hawa Xiaomi na sifa zake nimezipata humu humu jukwaani, wakinibamba Samsung nitawakimbia mazimaMoja ya Sababu ya simu za xiaomi kuwa bei rahisi ni kwamba wanauza tu online, hawahangaiki na mambo ya supply, logistic, support etc.
Kwa kenya Angalia jumia, avechi etc utazikuta.
Kuhusu utofauti wa hizo simu 9 na 9T zipo level nyengine kabisa kuliko 9A na 9C.
Mfano processor za 9 na 9T zina core kubwa zenye nguvu hivyo kuweza kufanya task mbalimbali kwa ufanisi kuliko 9c na 9A zenye processor ndogo.
9 na 9T zina vioo vya full HD wakati 9a na 9c Wana vioo vya HD kawaida.
Same kwa mambo mengine kama camera.
Kutegemea na aina ya Samsung uliyokua unatumia unaweza ukaona Xiaomi ni moto ama la.Nimenunua 9a bado nawachunguza Kwanza hawa Xiaomi na sifa zake nimezipata humu humu jukwaani, wakinibamba Samsung nitawakimbia mazima
Hivi hizi xiaomi ndogo ndogo kama 9c 9A,Poco M3 nkNimenunua 9a bado nawachunguza Kwanza hawa Xiaomi na sifa zake nimezipata humu humu jukwaani, wakinibamba Samsung nitawakimbia mazima
Kama mziki ni priority marehemu LG alikuwa bora zaidi kwa zama zetu.Hivi hizi xiaomi ndogo ndogo kama 9c 9A,Poco M3 nk
au tuseme tu Xiaomi kiujumla zina mziki mzuri wa kwenye earphone kama zilivo samsung,apple nk?