mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
Sio imedumaa bali TTCL imedumazwa na Serikali yako uipendayo sana!
Anayejua ofisi zao zilipo kwa dar, msaada tafadhari
Hiyo 4G yao wameitangaza wapi?wazalendo kaeni mkao wa kula....TTCL imerudi upya kwa kasi ya ajabu.. be patient for a while...ni heroshima!!!!4G ya maana sio ya Tigo Mb 20 per backhaul
TTCL atatumia band ya 1800 kwa 4G-LTE na 2100 kwa 3G. "toroka urudi TTCL'.........
Je watakua kwenye wcdma au GSM??? Maana kinachowatesa ni hii wcdma!!
Wcdma ndio hio hio GSM, ttcl wana cdma au EV-DO
Huyo anaewashauri waende cdma sijui hata Ni nani?
wakaribie kabisa kwa mikono miwili tumechoka kuibiwa na hawa wa MB 8, SHENZI KABISA
mb8 ni agizo la TCRA hilo utabidi uishi nalo tu.
hivi kumbe mbeya sikuhizi kunamanyoni,
maana najua ni SINGIDA
TCRA ipi??
Barabara 15 wana ofisi.vp kwa tanga itakua kwa hewa
Kwa huku tarime jana na juzi walipita wakihitaji mawakala na wote waliojitokeza walipewa line bure ikiwa na gb 5 dk hazina idadi,ila dk ni kwa ajili ya mtandao wao pekee.utaongea unavyotaka maana hata dk hazionekani.binafsi sikuipata line yao ila jumatatu nitawaibukia ofisini kwao ili nikaombe uwakala lakino nia yangu nipate hayo mgb kwa ajili ya makamuzi
Ofisi zao zipo wapi mzee?
taja sehemu uliyopo watu wakuelekeze
Tarajieni Voda na tigo kushusha bei vibaya sana na kutoa mabando makubwa makubwa ya data
Furaha kwetu walaji
Ndio maana tunataka mabadiliko kila sekta, hii ni dhuluma kwa waTZ