Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,228
- 44,234
We hao smart wapo nchi nzima ya wapi? Mi huku niliko kilosa cjawai ona network yao.
Hawa halotel pia japo wamepita huku nadhan huku hakujawashwa, niki search operators manually waliopo huku, naishia kuona voda, tigo na airtel tu
Niko kgoma nahtaj pia kupata lain hyo mwenye kujua inakopatkana anjuze
Ngoja nimsaidie. Hiyo apo mkuu.
Yaani hiyo speed ndio kitu kinachosifiwa hapa ama?
Mbona ni ya kawaida sana...
Kweli mkuu. Speed yakaiwada , hata mwenyewe imenishangaza
hawatumii band 2100 kama mitandao mengine ya kwetu tafuta simu yenye band nyingi kama s3, s4, s5, s6, iphone zote nk tumia kusearch ili uhakikishe kama upo.
Ngoja nimsaidie. Hiyo apo mkuu.
sijaelewa kuhusu halotel ,je wameshaanza kuuza line? Hiyo internet inapatikanaje
Bado hawajaanza. Ila watu wanazipa line kuotja kwa wanyakazi wa karibu wanofanya kazi halotel.
Ahsante mkuu, nitafanyia kazi hilo
Vipi simu nyingine zenye band nyingi tofauti na samsung izo
Line wanapewa wafanyakazi na ndugu zao!! Hata mimi nnayo yaani usipime ... Iko fast sana
Hizo hapo