Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Hivi Watanzani tunasubili nini kujenga Sanamu ya Rais Magufuli na kuiweka Posta.Tukichelewa kujenga Sanamu wenzetu Kenya watawahi na kusema anatoka nchini kwao.Naomba tuungane Katika hili Watanzani.
Nawasilisha
Akajenge chato wamkumbuke vizuri....tusijenge ya nyerere tuweke ya JPM hajamalizi ata aka 2
 
Hapana mkuu kila nchi ambayo kiongozi wao amefanya mambo mazuri huwa wanajenga Sanamu kwa hapa Tanzania ni Magufuli

Sawa kwa mawazo yako ila ni mapema mno. Hatukawii kubadilika na kumsema vinginevyo. Unakumbuka JK alivyoanza? ilikuwa furaha .... baadae dhaifu...
 
Sawa kwa mawazo yako ila ni mapema mno. Hatukawii kubadilika na kumsema vinginevyo. Unakumbuka JK alivyoanza? ilikuwa furaha .... baadae dhaifu...
Nalijuwa hilo lakini kujenga Sanamu inamwongezea motisha ya kufanya vizuri zaidi
 
Napenda kuchukua fursa hii kukupongeza Rais wangu mpendwa John P. Magufuli kwa ujasiri na uzalendo uliuounesha juu ya ufuatiliaji wa madini. Ninakupongeza kwa kuwa ni viongozi wengi wamekoswa ujasiri huo lakini wewe umethubutu. Lakini napenda kuchukua fursa hii kuwaonya baadhi ya viongozi wa upinzani wakiongozwa na Tundu Lisu wakome kubeza jitihada zako na wakiendelea hivyo chamoto watakiona 2020.
 
Habari wadau ,Mimi in mmoja wa watanzania niliovutiwa sana na habari zinazoenea katika media habari za ushujaa wa Dr.magufuli,
Tanzania kwa muda mrefu tulihitaji mtu wa kariba hii
Nimefuatulia bunge na vyombo vya habari kwa muda mrefu toka awamu ya raisi wa tatu nimegundua kuna repetition of the words
1) mkapa alisifiwa sana bungeni akitajwa kuwa shujaa na mwanamapinduzi wa uchumi wabunge hawahawa walishangilia na kuvunja viti kwa kulewa na uzalendo wake tena wakimtaja kuwa ni mzalendo baada ya mwalimu hata Mimi niliamini hivyo.
2)sikwmbii kikwete ilikuwaje maana alipambwa kwa kila aina ya sifa wengine walidiriki hata kupendekeza aongezewe muda kwa Yale mazuri aliyotufanyia watanzania,huko bungeni ndio sikuambii alipata kila aina ya sifa kutoka kwa wabunge wasomi
3)awamu ya tano sikuambii naomba uwe shahidi wangu wa kile kinachoendelea wabunge walewale wanaendelea kumwaga sifa kwa mkuu wetu wengine wanadiriki kukata na viuno kabisa wakisfu na kukejeli kama sio kuhoji uzalendo wa yyte yule asiyefanya kama wao

NDUGU YANGU Mimi naomba niwe wa mwisho kusifu na kupongeza kila linalotokea humu nchini nimegundua wale waliosifiwa mwanzo kwa mbwembwe ndio wanaohisiwa Leo kuwa wameliingiza taifa katika hasara kubwa,mikataba mibovu hasa sekta ya madini na gesi.Naomba niwe wa mwisho ili nimsubiri ajaye yeye atatudhihirishia kama huyu wa sasa alikuwa safi ama la?

Nimejifunza kutoamini katika makelele na mbwembe maana ndizo zilizotufikisha hapa.my friend iam against the mass,I have choosen my way minority is my new way.KUNA HAJA SASA YA WABUNGE KUANZA KUSHTAKIWA MAHAKANI

AHSANTE
 
Kama kungekuwa na uwezo wa kuongeza Ram na processor kwenye kichwa cha binadamu ili mtu aweze kuchambua mambo kiundani na kuyaelewa kiundani, ningekununulia Mkuu.
 
VIVA MAGUFULI
upload_2017-6-13_14-5-10-jpeg.523266
 
Back
Top Bottom