Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

kwa iyo unataka kutuaminisha kwamba Gwajima ni the DON kushinda viongoz waliopita? sababu yeye kaagiza ndege abroad kwa ajili ya kufundishia tu
 
n
kwa iyo unataka kutuaminisha kwamba Gwajima ni the DON kushinda viongoz waliopita? sababu yeye kaagiza ndege abroad kwa ajili ya kufundishia tu
imesema kwa issue ya kufufua atcl soma vizuri na kuna sehemu nimesema amefanya vibaya
 
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.

Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!

Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!

Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.

Hao wanaompinga Magufuli ni mashetani tu kwani Magufuli kaletwa na Mungu atukomboe na ndiyo maana wananchi wa nchi nyingine hapa Afrika wanamlilia awe rais wao.
 
Acheni ushetani wakusema Magufuli kaletwa na Mungu. au mungu alimsaidia kuiba kura, Mungu nae mfahamu sio mwizi. Mtu anaenda kwa waganga afu anakomaa kila siku tumuombee, alafu mnasema kaletwa na mugu??? you people are crazy.
 
Waliodumaa akili wanafikili mabadiliko ni kuzungusha mikono tu, kisha mnarudi nyumbani kulala
Hahaahaaa hao jamaaaa kwanza haina haja ya kuwajibu vihoja uchwara vyao wacha walalamike wakijakushtuka nchi imesonga mi sioni jipya ambalo upinzani watalifanya wakipewa nchi kumzidi magu,,i wish magu 15 years tupate maendeleo na maendeleo huwa yanakuja kwa kujifunga mkanda.
 
kweli watanzania inabidi tupimwe akili kitu kikiwa cheupe hata ukiwa mbali kwa cm 100 utakiona ni cheupe na kikiwa cheusi utakiona ukiona walalimikaji wanakuwa wengi kuzzidi wanaokusuppot jua kuna tatizo mahal,haingii akilini kila mtu aliye bado unasema upo sawa
 
hatuwezi kupata mabadiliko ya kweli kama CCM bado ipo madarakani.

Nchi inakabiliwa BAA LA NJAA, rais anasema tusitangaze kama kuna njaa. Mwenzake wa Kenya ameshatanga kwa raia wake. [Afu unasema ndo rais wa wanyonge).

Walisema sukari imefichwa kumbe ni uongo, bei imepanda mpaka sasa serikali imeshindwa kuishusha (inajinasibu ni serikali ya wanyonge, sijui wanyonge gani)

Tanzania ya sasa inatawaliwa ktk misingi ya udini {ukiristu} na ukanda

Zabuni za ujenzi Chato kapewa mtoto wa dada yake{afu unasema ndo rais tuliyemuhitaji}.

Mpaka sasa hakuna fedha za mfadhili yoyote iliyotolewa kusapoti bajeti yetu, Makusanyo yote ya ndani ya ndani yanatumika kulipa mishahara na madeni tu.

Pamoja na kubana matumizi , shilingi ya Tanzania imezidi kuporomoka dhidi ya Dollar ya marekani, na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa za kuinusuru

Na kila anaelalamika mnasema alikuwa mpigaji hata kama ni mjasiriamali aliekopa hela benki kufanya biashara zake halali.

Watu wamepiga hela za Lugumi, hakuna hatua zozote za kumwadhibu aliehusika.

Walituaminisha kwenye kampeni mwaka 2015, Lowassa ni fisadi. Wamejenga mahakama ya mafisadi. Mpaka sasa hawawezi kumkamata ilhali wana kila kitu cha kumkamata.

Serikali ya CCM imeishiwa Pumzi, inaelekea KUFA.

Si mzima wewe, ukapimwe akili
Wivu umekutawala hoja zako nyepesi sana
 
Umefuata mtu sio sera vijana hawawezi kuchukua ushauri wako.... kwa hyo magu akistaafu siasa si ina maana utahama tena ccm??
Mkuu usiwe mfuasi wa watu simamia itikadi na sera maana watu wanapita ila sera na itikadi zikiwa imara husimama milele
Hata mimi nipo na rais wangu magu ukawa wapiga dili tu.
 
Ukumbuke mpaka sasa hivi mwenye maono ya Tanzania ni rais, ningekuelewa ukisema kuwa unamuunga rais mkono kwa juhudi mbalimbali anzazozifanya, maana sina uhakika kuwa kile anachokitaka Rais wanzake wanakijua au wanafuata nyuma, rais amejipambanua wazi kabisa kuwa siasa hazina nafasi sasa kinachosisitizwa si aina ya chama kilichopo bali ni nini unafanya kwa ajili ya kuinasua Tanzania kutoka mkwamo wa kifikra na kubaini ukombozi uliopo ili Taifa lisonge mbele.
Mkuuu nimekusoma mia kwa mia
 
Tuacheni uongo uongo. Tutapima mafanikio ya serikali ya JPM mwaka 2020. Kwa sasa ni mapema mno kujaribu kufanya conclusion yoyote. Serikali yake iliahidi mambo mengi, mnataka tuanze kuipima baada ya mwaka mmoja tu? you guys need to be serious. Muda huu ni wa kuchangia mawazo katika kushauri utekelezaji wa sera, na si kuanza kuelezea mafanikio ya sera.
 
Hata mimi nipo na rais wangu magu ukawa wapiga dili tu.
Wewe kumsupport mtu haikufanyi kuchukia upande wa pili?? Kwani hakuna wapinzani wanaomuunga mkono magufuli??? Sisi tunampinga magufuli au huwa tunapinga anapokosea kosea kma mwanadam??? Mbona mnafanya kuwa siasa ni uadui??? Kwani tunakomoana???

Tukubali kutofautiana misimamo na mitazamo wwe kma unamsuport magufuli then its good sasa usianze kurusha matusi sijui ukawa wapiga dili and all that..... kwani tumewahi kupewa nchi tukashindwa kufanya ambacho magu labda kwa mtazamo wako amefanya????

Wewe msifie magu wakp basi ya UKAWA waachie wenyewe kuanza kujenga chuki za kisiasa eti magu vs ukawa haijengi kabisa...... yye atabaki kuwa rais hta kma wengine hatukumchagua na wote tunamsuport ila anapokosea lazma tukosoe sasa ndio tuitwe wapiga dili??? Karume na nyerere walikosolewa sembuse magu.... get a life brother
 
Niko India kwa mafunzo ya muda mfupi, kwenye Coffee break kwa kawaida watu hupata kufahamiana zaidi mbali na ile introduction inayofanyika chumba cha warsha..... kifupi hapa mimekua superstar kwa muda mfupi maana kila mtu anataka kusema lake kuhusu JPM, na kwa kweli japo nafahamu Rais wangu maarufu kiasi chake, sikuwa nikidhani kama mtu kutoka Nigeria , Ghana, Malawi angeweza mfahamu kwa namna ya kumtamani, kuna huyu kijana wa Malawi anathubutu kusema natamamni angekuwa Rais wangu!!

Hayo tu kwa leo
 
Hawajakupofua kweli jicho la tatu huko india maana nasikia wanapenda sana kula jicho
 
Niko India kwa mafunzo ya muda mfupi, kwenye Coffee break kwa kawaida watu hupata kufahamiana zaidi mbali na ile introduction inayofanyika chumba cha warsha..... kifupi hapa mimekua superstar kwa muda mfupi maana kila mtu anataka kusema lake kuhusu JPM, na kwa kweli japo nafahamu Rais wangu maarufu kiasi chake, sikuwa nikidhani kama mtu kutoka Nigeria , Ghana, Malawi angeweza mfahamu kwa namna ya kumtamani, kuna huyu kijana wa Malawi anathubutu kusema natamamni angekuwa Rais wangu!!

Hayo tu kwa leo

kama unategemea uwaziri umeshajaa
 
Back
Top Bottom