bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,016
- 4,961
Jamani wadada wa siku hizi ni moto,
Wengi hawakai hata mwezi,
Jirani yangu kaleta Mdada nyumba ni full geti, (getikali) binti hakuna kutoka kila kitu kipo ndani
Basi siku moja wenye nyumba wameenda kwenye harusi kurudi usiku wanakuta na viatu vya kiume nje kucheki kumbe binti na jamaa wamejisahau baada ya kufanya yao wakapitiwa na usingizi, varangati baadaye Dada akaondolewa.
Kisa Kingine wenye Nyumba wanaondoka binti nae anasepa anawafungia Watoto ndani Watoto wanalia we wanajipupulia humohumo ndani majirani wakambonyezea Mama mwenye nyumba duh balaa,
Ntaendelea na vingine baadaye,
balaa lingine ni kwenye simu, usiku mzima ni kuchati
Waweza ongezea na vya kwako ulivyoviona au kukutokea wewe