Vituko vya spika MAKINDA

Vituko vya spika MAKINDA

Wigi niwigue kiti changu cha uspika nisikiachilie
Mbona mnanisakama hivi??

02_11_c13mja.jpg
 
Iwapo nchi itamtumia vizuri spika wetu ni kivutio kizuri kwa watalii
 
mi huwa na-imagine mtoto wa pinda na anne makinda angefananaje?? cjui afanane na baba au na mama????
 
Umenifurahisha sn kyalomko teh teh teh teh eti wigi la utalii simpendi yule mama
 
Mnamwonea kwa sababu yeye ni mwanamke
 
Matokeo ya kuchagua SPIKA asiye na sifa.
Kwenye katiba mpya, tutataka spika asiye mbunge, na achaguliwe na wananchi

Naunga mukono.

CV za watu zitumike kutoa kazi na sio kuacha siasa kila mahali
 
.........akiwa bungeni ni sawa na mwalimu anayefundisha chekechea she never control the forum!:glasses-nerdy:
 
Hahahahahah kwel aseee na ukizingatia tanapa wanahangaika kutafuta mbinu za kuwavutia watalii waje kwa wingi, nadhan wakimtumia "senkyu vere mache" watafanikiwa lol
Hata wigi analovaa kichwani nalo ni kituko. Pia laweza kuwa kivutio cha watalii.
 
Kukurupuka kwake na kuanzisha kamati na kukalia ripoti ndo vitamtia matatani mwenyekiti wake. Suala la majaji wasionasifa litakuwa la kwanza na kiboko tosha.:shut-mouth:
 
1. Ni mtalaam wa kuzima hoja za wabunge.
2. Anaunda kamati na uchunguzi wake anaweka kabatini.
3. Anavunja kamati na hawezi kuunda mpya.
4. Anakimbiwa na wabunge wakati bunge likiendelea.
5.....

6....
7....ana-biffu na halima mdee kwa mambo ya kikekike tena mbele ya kiti ndani ya bunge nanukuhu " yaaani harima unanijibu hivyoooo"..halima.."hivyohivyo meseji sent" mwisho wa kunukuhu.

8....anamsemea zitto kabwe kwa mama yake

9....anamjibia pinda maswali ya serikali wakati yeye ni muhimili wa bunge linalotakiwa kuiwajibisha serikali

10... Amefunga barabara na kuwanyima mawasiliano majirani zake huko kijitonyama

11... Anatumia gari la serikali kwa shughuli binafsi ikiwamo kwenda kanisani kwa kutumia benzi la serikali na kutuletea usumbufu wa kuwa anasali nyuma kuna bodyguard wa serikali anayelipwa na serikali kumlinda wakati yupo kwenye ishu binafsi

12-... Wananchi wengi hatumpendi tuu in general hafaiiii.
 
13. Ana kiwanja Tegeta cha muda mrefuuuuuuuuuu - hataki kukiendeleza [si awape wanaohitaji??]
 
Lile wigi anavaa bungeni tu, akiwa safarini anasuka vizuri. Wanasiasa wetu ni washirikina sana na hajui ni nini wajibu wao kwa wananchi wao.

Lile wigi kwa ndani limesheheni tunguri za Njombe baba sio bure alivae Bungeni tu
 
Back
Top Bottom