Vituko vya spika MAKINDA

Vituko vya spika MAKINDA

Matokeo ya kuchagua SPIKA asiye na sifa.
Kwenye katiba mpya, tutataka spika asiye mbunge, na achaguliwe na wananchi


mkuu Bujibuji na asichaguliwe sababu ni mwanamke nakataa na kupinga kabisa kumpa mtu cheo ati kwa kuwa ni manamama......mtu apewe kazi anayoiweza,
jinsia iangaliwe tu pale anapokua amekidhi viwango na si kubebana
 
Wigi ni vazi la bunge???

anna+makinda+speker.jpg
 
Back
Top Bottom