Vituko vya spika MAKINDA

Vituko vya spika MAKINDA

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,312
1. ni mtalaam wa kuzima hoja za wabunge.
2. anaunda kamati na uchunguzi wake anaweka kabatini.
3. anavunja kamati na hawezi kuunda mpya.
4. anakimbiwa na wabunge wakati bunge likiendelea.
5.....
 
Hiyo ya kubeba wasiobebeka ndio 'trademark' yake, labda tuongezee na "Kubeba Visivyobebeka pia"
 
Sioni jipya kwa sababu anatoka chama kile kile chenye kulea mambo yale yale kwa maslahi ya chama na siyo kwa maslahi ya umma.
 
1.ni mtalaam wa kuzima hoja za wabunge.
2.anaunda kamata na uchunguzi wake anaweka kabatini.
3.anavunja kamati na hawezi kuunda mpya.
4.anakimbiwa na wabunge wakati bunge likeindelea.
5.
6.
...........

Hawa baazi ya wanawake wanaopewa nafasi za juu kupitia migongo ya Magamba ni tatizo kubwa sana. Wanafanya wanawake wengine waonekane hawajui nini maana ya uongozi. Huyu mama ni mzigo kwa Taifa kuliko maelezo.
 
1. ni mtalaam wa kuzima hoja za wabunge.
2. anaunda kamati na uchunguzi wake anaweka kabatini.
3. anavunja kamati na hawezi kuunda mpya.
4. anakimbiwa na wabunge wakati bunge likiendelea.
5.....

Huo ni uozo siyo vituko bana
 
Lile wigi anavaa bungeni tu, akiwa safarini anasuka vizuri. Wanasiasa wetu ni washirikina sana na hajui ni nini wajibu wao kwa wananchi wao.

Hapa nakunywa chai kwa niaba yako kwani uliyoyasema ni kweli kabisa juu ya ushirikiana wa wanasiasa wetu. Hapa Bongo mwanasiasa ni mtu wa kumwogopa kwani wayafanyayo gizani ni ya kutisha.
 
1. ni mtalaam wa kuzima hoja za wabunge.
2. anaunda kamati na uchunguzi wake anaweka kabatini.
3. anavunja kamati na hawezi kuunda mpya.
4. anakimbiwa na wabunge wakati bunge likiendelea.
5.....
6.Anapenda kuficha mvi zake na nywele bandia
 
Hata wigi analovaa kichwani nalo ni kituko. Pia laweza kuwa kivutio cha watalii.
wadau, mnyonge mnyongeni, hivi wewe hujamuona recently alivyo badilisha style ya usukaji hadi ameongeza na mikogo kwa jinsi anavyojiona kapendeza

Mbona mnanisakama hivi??

02_11_c13mja.jpg
 
Kaa chini hamna mwogozo hapa!!
 
sioni hata faida ya bunge maana hata waziri Nchimbi alikataa lisijadili milo ya siku kwa wafungwa!
 
Back
Top Bottom