Thaari
JF-Expert Member
- Sep 8, 2022
- 403
- 640
Kufukua maiti ni zoezi la ujasiri@Mshana Jr nisaidie link ya huo uzi wa kufukua maiti
Kaka nakubali.Kunyonga ni thawabu wengi tu hawajui unampunguzia marehemu mtarajiwa maumivu mengi
Unabisha hodi au ?...kujua kwamba baadhi ya maiti walikuwa na "nguvu" kiasi kwamba hawaruhusu wengine kulala karibu nao na alikuwa mwangalifu kila wakati akihudumia miili kama hiyo.
Baadhi ya maiti haziruhusu wengine kulala karibu nao
Maneno yake: “Baadhi ya watu wenye nguvu hawaruhusu maiti nyingine kulalia karibu nao, hivyo wakati wa usiku, wataondoa maiti nyingine karibu nao na kuzitupa mbali na mahali zilipo au wangeenda mahali pa faragha na kulala hapo. – maiti zote si sawa, ndiyo maana tunabisha kabla hatujaingia humo.”
Hivi hakuna watu wanakwenda mochwari Kwa ajili ya kutaka kiungo,vazi,mapambo nk kutoka Kwa maiti Kwa ajili ya ushirikinaNdio
Wapo wengi sana lakini hiyo ni biashara ya magendo tena ya siri. Ila hawaendi wao direct bali kuna madalaliHivi hakuna watu wanakwenda mochwari Kwa ajili ya kutaka kiungo,vazi,mapambo nk kutoka Kwa maiti Kwa ajili ya ushirikina
Wanautumia katika namna gani (kuharibu au kujenga,
wenye tija au upo Kwa ajili ya kuvuruga)
Ilo jicho tu linaonyesha jamaa mtumiaji wa kijiti cha mpepe/msuba/kaya.Mhudumu wa chumba cha kuhifadhia maiti cha Enugu amewakosea Wanigeria baada ya kushiriki selfies alizopiga na maiti kwenye chumba cha kuhifadhia maiti anachofanyia kazi kwenye Facebook. Tazama picha alizoweka;View attachment 2392411View attachment 2392412
Mwamba km mwamba
Acha uoga kila mtu lazima awe maiti. Kama hutaki jitumbikize kwenye pipa la tindikali upotee kabisanaogopa kuwa maiti
Lugha imekuja na ndege hii sio ya mchezo mchezoDuh hii lugha ya malkia ni shida.