Vituko vya mochwari

Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
118,522
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
118,522 2,000
Jamani jamani jamani pale mahali paoneni hivi hivi, pana vibweka pale mwanzo mwisho, na Kama kuna viumbe wana visa vibaya marehemu wanaongoza
Kama mtu alikuwa malaya kwenye uhai wake hata akifa maiti yake huwa na pozi zile zile.

Mtu katili hufa na ukatili wake na hata pale mochwari maiti yake huwa na dalili zote.... Wabishi matapeli wachawi nk hubaki na hizi tabia hata pale ndani
Huwezi amini maiti uliyokuwa umeiweka vizuri tu ukaikuta imechanua miguu.

,ama maiti nyingine kuikuta tu imegeuka yenyewe ...! Unakaa na kujiuliza na mshangao mkubwa hii imegeuka saa ngapi? Ama imegeuzwa ? na nani?

Mbaya zaidi ni zile zenye tabia ya kukonyeza.... Yani live kabisa ukiangalia unaona marehemu anakukonyeza.... Walevi mateja mabosi nk wote wapo kwenye kile chumba.

Na kuna wakati mochwari attendant hujua kabisa kwamba Leo mochwari patafurika ama mzigo utakuwa mdogo.... Ni uzoefu tu wa kazi.

Nikimkumbuka yale niliyokutana nayo wakati ule naona kabisa kuna mengi bado hatuyajui.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
118,522
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
118,522 2,000
Mm natamanigi Sana kujua what happens inside the grave. Like ukishaekewa udongo ndan ya jeneza uttoka lini kuchanganyika na udongo
Hujui chochote tena
 
msukuma.com

msukuma.com

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2016
Messages
1,257
Points
2,000
msukuma.com

msukuma.com

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2016
1,257 2,000
Si umeona haitishi
Kwa Mchana haitishi ila usiku inatisha hasa zile picha za maiti.. hata angekuwa Kiduku Lilo angeogopa kwa eneo naloiishi ni nje ya mji huku bado wanazikia nyumbani ,sasa kwa ile jana angeogopa tu.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
118,522
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
118,522 2,000
Kwa Mchana haitishi ila usiku inatisha hasa zile picha za maiti.. hata angekuwa Kiduku Lilo angeogopa kwa eneo naloiishi ni nje ya mji huku bado wanazikia nyumbani ,sasa kwa ile jana angeogopa tu.
 
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Messages
17,485
Points
2,000
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2013
17,485 2,000
Napata tabu kuwaelewa wale wanaosoma stori tu na kutishika au wanaoshindwa hata kuangalia movie za kutisha, hadi wengine wanaogopa kupita maeneo ya makaburini usiku binafsi woga huo sina hadi usiku mi popote natimba ila hofu yangu nisikutane na mtu mwenye silaha kama vile bastola, bunduki au visu.
 
K

Kiduku Lilo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
805
Points
1,000
K

Kiduku Lilo

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
805 1,000
Ha ha ha... Oysterbay hakuna maeneo ya namna hiyo man.its cool down here.

Kwa Mchana haitishi ila usiku inatisha hasa zile picha za maiti.. hata angekuwa Kiduku Lilo angeogopa kwa eneo naloiishi ni nje ya mji huku bado wanazikia nyumbani ,sasa kwa ile jana angeogopa tu.
 
koncho77

koncho77

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Messages
5,575
Points
2,000
koncho77

koncho77

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2014
5,575 2,000
Yaani we Mshana unapigaje maiti picha na kupost hapa!!! Imagine ungekuwa wewe umekufa halafu mtu anakupiga picha ya kukukejeli!!! Uzuri wake wote tutakufa siku moja!!!
Hatutakufa siku moja kila mtu atakufa kivyake
 
koncho77

koncho77

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Messages
5,575
Points
2,000
koncho77

koncho77

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2014
5,575 2,000
Napata tabu kuwaelewa wale wanaosoma stori tu na kutishika au wanaoshindwa hata kuangalia movie za kutisha, hadi wengine wanaogopa kupita maeneo ya makaburini usiku binafsi woga huo sina hadi usiku mi popote natimba ila hofu yangu nisikutane na mtu mwenye silaha kama vile bastola, bunduki au visu.
Huu ndio ubaharia wenyewe sasa
 
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
29,498
Points
2,000
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
29,498 2,000
Na uzee huu ila nimeogopa.

Mshana Jr ile tabia yako ya kubaka maiti umeacha?

Heri nikifa nizikwe siku iyo hiyo.
 
Forum statistics

Threads 1,336,420
Members 512,614
Posts 32,538,869
Top