THK DJAYZZ
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 2,166
- 175
Nataka kujua wewe Kiswahili ni lugha yako ya ngapi? Kuna mtu kaomba afahamishwe maana ya vitango hapa!
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !
Near by Korogwe Tanga Tanzania.
Nataka kujua wewe Kiswahili ni lugha yako ya ngapi? Kuna mtu kaomba afahamishwe maana ya vitango hapa!
Umeshashiba urojo sasa hivi ukaamua kuja kuzingua tu hapa. Sawa!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mimba noma, kuna jamaa
alitolewa night kali akatafte
vitango tena kwa kilio, ikabidi jamaa amuamshe muuza vitango tena mbali na home kwao, jamaa aliporudi akaambiwa avioshe na avimenye then avikate alipomaliza akavipeleka, mwanamke akamwambiwa akae chini ya maskio ya mkewe avitafune vyote! Kumbe dem alitamani kuskia kitango kinavyotafunwa!