Vituko vya mayweather

Vituko vya mayweather

Huyu jamaa na wengine wa aina yake/mabondia, wana matatizo ya kufikiri perfectly.Makonde wanayopigana yanaathili sana normality ya ubongo.Mpaka hapo huyo mtu hayuko sawa kama tunavyofikiri.Ni mgonjwa akili tayari.
 
Kweli kabisa.

Si kila bilionea ana ndege, wengi wanapanda hizi commercial ones. Jamaa hajui jinsi ya kumanage kipato chake. Yetu macho, ataishi kwa historia muda si mrefu.

Wapi kina mike tyson?

Pamoja na pesa ndefu aliyokuwa akivuta Iron Mike Tyson, sasa ameishia kufuga njiwa!
Pia huyu dogo Mayweather asipobadilika yatamkuta haya ya Tyson.
 
Pamoja na pesa ndefu aliyokuwa akivuta Iron Mike Tyson, sasa ameishia kufuga njiwa!
Pia huyu dogo Mayweather asipobadilika yatamkuta haya ya Tyson.

Mara nyingi watu weusi marekani wanapata pesa kufukuru lakini mwisho wa siku wanaangukia kufilisika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom