Vituko nilivyokutana navyo mwisho wa mwaka 2011

Vituko nilivyokutana navyo mwisho wa mwaka 2011

washawasha heri ya mwaka mpya, washawasha ulienda kongo kutafuta utajiri au maana umesafiri mwendo mrefu kweli kunani tena naomba unijibu
 
Hilo bango la huyo jujuman wa kongo liliandikwa lugha gani?
 
mm naomba bei ya bullets,na je nikitaka kufanya mass destruction atapunguza bei?
 
Heri ya mwaka mpya mkuu. mi nimependa ya kwa mganga nitakutafuta unipe ramani mkuu. hata neno linasema jitahidi nami nitakusaidia mkuu.
 
dah! we mtu nimekusaka mpaka basi angalia inboksi yako ujionee,heri ya mwaka mpya mkuu,karibu tena jamvini.dah! leo niko na furaha sana na nafikiri siku yangu itaisha vizuri kabisa.
 
Washawasha iz baki, heri ya mwaka mpya mkuu. nilihisi umedanja basi nikakupa RIP, hope uliipata. Unaweza kuirudisha au ukabaki nayo just in case..

kuhusu kuua, wewe ulilipia mtu wako afe kifo gani? Na ulilipa pesa ngapi? Lol

nimerudi na yale makeke yangu ya long.nawe pia nakutakia mwaka mwema.Mie naona ni bora nikurudishie RIP yako.Kuhusu kuua mie nimelipa kama dola za US 150 na nataka adui yangu afe kwa mafuriko.Nalog off
 
washawasha heri ya mwaka mpya, washawasha ulienda kongo kutafuta utajiri au maana umesafiri mwendo mrefu kweli kunani tena naomba unijibu
ni kweli mkuu nilienda kuusaka upedejee kwa mwaka huu wa 2012 si unajua nimeshachapika sana.Nalog off
 
uzima wake uko katika hako kachungwa.
Ukikavua tu, sehemu zake zote kwishney

hahahah bila shaka na wewe ulikuwepo kule uliyajuaje hayo mapungufu yangu? maana mganga ndiye aliyeniambia.Nalog off
 
Back
Top Bottom