HADITHI YA KAINI NA ABILI ILIIBWA MISRI KABLA YA UKRISTO
[emoji433]SETH na OSIRIS wanawakilisha kaini na abili ,ila wazungu walichokifanya ni kubadilisha story TU ila ukweli huko wazi.
[emoji433]Hawa ni ndugu wawili
[emoji433]Osiris na Sethi walikuwa wana wa mungu mama mkuu Nut. Osiris alikuwa mfalme wa nchi tajiri za Misri ya juu.
[emoji433] Geb alimweka Osiris kwenye kiti cha enzi cha Misri, na utawala wake ulikuwa mzuri na taifa lilikuwa na furaha na ustawi.
[emoji433] Seti akamwonea ndugu yake wivu sana, akataka kumuua ili apate kuchukua kiti chake cha enzi
[emoji433]Sethi alikuwa na wivu na kumuua kaka yake, kisha akamkata vipande vingi na kutupa phallus yake kando ya mfereji wa Netat, karibu na Abydos, .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.