Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_2680.jpg
 
HADITHI YA KAINI NA ABILI ILIIBWA MISRI KABLA YA UKRISTO

[emoji433]SETH na OSIRIS wanawakilisha kaini na abili ,ila wazungu walichokifanya ni kubadilisha story TU ila ukweli huko wazi.

[emoji433]Hawa ni ndugu wawili

[emoji433]Osiris na Sethi walikuwa wana wa mungu mama mkuu Nut. Osiris alikuwa mfalme wa nchi tajiri za Misri ya juu.

[emoji433] Geb alimweka Osiris kwenye kiti cha enzi cha Misri, na utawala wake ulikuwa mzuri na taifa lilikuwa na furaha na ustawi.

[emoji433] Seti akamwonea ndugu yake wivu sana, akataka kumuua ili apate kuchukua kiti chake cha enzi

[emoji433]Sethi alikuwa na wivu na kumuua kaka yake, kisha akamkata vipande vingi na kutupa phallus yake kando ya mfereji wa Netat, karibu na Abydos, .View attachment 2833959

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli, hadithi nyingi za bibilia zimetoholewa kutoka kwenye tamaduni zingine.

Gharika la nuhu imetolewa kwenye the epic of gilgamesh kutoka Babylon,

Hadithi ya Musa imefanana na ya Sargon kutoka Mesopotamia,

Hadithi ya Ayubu nayo imetolewa Mesopotamia,

Zaburi, Mambo ya Walawi, zimefanana na maandiko ya misri, na vingine vingi.

Dini inazaliwa, inakua kwa kutohoa kutoka sehemu zingine, pia inakufa, dini za sasa zimetokana na dini za zamani zaidi.
 
Back
Top Bottom