Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1701690153704.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutana Waziri na Pofesa muongo kuliko wote Tanzania . Tulisema wapimwe akili hawako sawa kabisa awa viumbe

Indonesia wakisema kubana matumizi maana yake viongozi wanatumia magari ya bei nafuu kama SUZUKI, RAV 4, IST au

Uruguay wakibana matumzi wanamaanisha kutumia 1987 Volkswagen Beetle kama ya Rais wao mstaafu Josè Mujica.

Ulaya wakisema kubana matumizi maana yake wanatumia baiskeli na usafiri wa umma kwenda kazini kama Waziri Mkuu wa Netherlands Market Rutte,

Au Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau anavyoamka asubuhi, bila msafara au ving'ora a akaenda ofisi zake, 80 Wellington Street Ottawa kwa usafiri wa baiskeli. Huko ndiyo kubana matumizi.

Rwanda wakisema kubana matumizi wanamaanisha kutumia gari chini ya cc2000 na waziri unakopeshwa hiyo gari na unakatwa katika mshahara wako baada ya miaka 5 inakuwa ya kwako.

TANZANIA

1. Tanzania wakinunua gari ya million 500 ndiyo wamebana matumizi,Toyota Landcruiser LC 300 series.

2. Wakiwapa marais na marais wastaafu, Makamu wa Rais na mawaziri wakuu magari ya Millioni 500 ndiyo wamebana matumizi.

3. Wakiwapa gari mawaziri na manaibu waziri magari ya millioni 500 ndiyo wamebana matumizi

3. Wakiwapa magari makatibu wakuu na manaibu makatibu wa kuu gari za millioni 500 ndiyo kubana matumizi

3. Wakiwapa magari wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya magari ya million 500 ndiyo kubana matumizi

4. Wakiwapa Majaji magari ya millioni 500 ndiyo wamebana matumizi

5. Wakiwapa RPCs gazi za millioni 500 ndiyo wamebana matumizi.

6. Wakiwapa Wakuu wa mashirika na taasisi za umma magari ya Millioni 500 ndiyo wamebana matumizi.

Bado Tanzania Kuna mtu ana elimu ngazi ya kuitwa Profesa anasema Tanzania inabana matumizi katika matumizi na manunuzi ya magari ya serikali.

Senzi saaaaaaaView attachment 2832739View attachment 2832740

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkumbo nae....!!!
 
Back
Top Bottom