Dini inazaliwa, inakua kwa kutohoa kutoka sehemu zingine, pia inakufa, dini za sasa zimetokana na dini za zamani zaidi.[emoji419][emoji375]Ni kweli, hadithi nyingi za bibilia zimetoholewa kutoka kwenye tamaduni zingine.
Gharika la nuhu imetolewa kwenye the epic of gilgamesh kutoka Babylon,
Hadithi ya Musa imefanana na ya Sargon kutoka Mesopotamia,
Hadithi ya Ayubu nayo imetolewa Mesopotamia,
Zaburi, Mambo ya Walawi, zimefanana na maandiko ya misri, na vingine vingi.
Dini inazaliwa, inakua kwa kutohoa kutoka sehemu zingine, pia inakufa, dini za sasa zimetokana na dini za zamani zaidi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa wakija kuachana na Joshua Thompson itakuwaje? [emoji15]
Ndiyo ujjue tuendako[emoji16][emoji16]Mbona wamerudi wamevimba[emoji23][emoji23]
Huyu mama alikuwa mwandishi wa habari wa ngazi chini kwenye kampuni ya Business time miaka ya 90, leo anaendelea kuupiga mwingi serikalini
Etoo naye kitambi cha nini[emoji849][emoji849][emoji849]
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2834069
Ntamuomba maarifa ya kutoboa kwenye hii dunia yaaani atelewa tuu 😂😂😂😂😂kwa ishara kwa picha kwa vyovyote vile
Ni kweli, hadithi nyingi za bibilia zimetoholewa kutoka kwenye tamaduni zingine.
Gharika la nuhu imetolewa kwenye the epic of gilgamesh kutoka Babylon,
Hadithi ya Musa imefanana na ya Sargon kutoka Mesopotamia,
Hadithi ya Ayubu nayo imetolewa Mesopotamia,
Zaburi, Mambo ya Walawi, zimefanana na maandiko ya misri, na vingine vingi.
Dini inazaliwa, inakua kwa kutohoa kutoka sehemu zingine, pia inakufa, dini za sasa zimetokana na dini za zamani zaidi.
what's next?guess what next LOl