Sasa hivyo viungo vikichanganywa mlaji anakata moto ASAP?
Nilishajaribu kutaka kuchovya kipande cha tango kwenye asali aisee nilikanywa na kugombezwa mno kwamba ningekufa mara moja. Ni imani iliyoenea katika makabila mengi.
Binafsi nimefurahi kuona wanasayansi wakiisambaratisha...japo nawe umekuja na ngonjera zako zisizo na kichwa wala miguu