FB_IMG_1700458859603.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mojawapo ya nyama bora kabisa za wanyama wa porini nilizowahi kula 😋
Kumbe umewahi kula hiyo nyama Mkuu?

Nilikuwa na ndugu alikuwa na kibali cha kuwinda wanyama pori.

Alifanya nibahatike kula nyama za Digidigi, Swala, Nyati, Pundamilia na Nyumbu.

Japo nami kwasasa nahangaikia kibali niwe nawinda kwaajili ya Kitoweo na kuweka Bucha la Nyama Pori hapo Makumbusho ama Savei.
 
Back
Top Bottom