Sasa mods nawaelewa. Ndo maana wakati mwingine wanakukula kichwa usiingie huku 😁😁😁🏃🏿♂️
Mnajishtukia tu. Wala hakuna aliyesema kuwa huyo mama ni Mchaga 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Hakunaaaa😂😂😂😂wana tuova doziii.
Selfka si ipo imefufuka mkuu? Mwambie huyo mjukuu wako akupeleke. Labda kama watakuwa wamechafua hewa tena 😁🖐Kwamba kwasasa umenenepa?
Selfika yetu ingekwepo hopefully ungetupiamo ka picha tukuone ulivyobongeka 😅
Mojawapo ya nyama bora kabisa za wanyama wa porini nilizowahi kula 😋Ni mnyama analiwa pia.
Ni kama mbuzi tu ama Swala kama umewahi kumuona pale Mikumi National Park
[emoji23][emoji23][emoji23],juzi wameniachia jana wamenifungia[emoji15],Sasa mods nawaelewa. Ndo maana wakati mwingine wanakukula kichwa usiingie huku [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099]
Babu[emoji23][emoji23][emoji23],Selfka si ipo imefufuka mkuu? Mwambie huyo mjukuu wako akupeleke. Labda kama watakuwa wamechafua hewa tena [emoji16][emoji870]
Anapambania rekodi ya unene kwenye Guinness Book of Records ama? 😳
Ngoja nikuchomee wakule kichwa asubuhi na mapema![emoji23][emoji23][emoji23],juzi wameniachia jana wamenifungia[emoji15],
Leo sijui kama litazama[emoji23]
Mpeleke mzee mwenzangu huko kama bado kuko shwari 😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Babu[emoji23][emoji23][emoji23],