Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,775
- 257,515
uliishawahiwa
Ahsante kwa maombi yenu,Nashindwa kupumua kabisa
kichwa kinaniuma,koo limekauka napumulia mdomo,nahisi baridi kalii,masikio meziba,macho ynauma michoz tu inatoka,
Mniombee[emoji1317], mwili unaenda kushindwa.
Ahsante.Pole sana mkuu