Kwani wadada weusi tumewafanya nini lakini 😂😂😂
na ina likes zaidi ya 200.... aisee
mideko nikikuona mbinguni ntashangaa sana
😂😂😂😂Kwani wadada weusi tumewafanya nini lakini 😂😂😂
Hahahahahahahha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌
Mara paap Mideko huyu hapa wakati tunakunywa maziwa na asali na akina Eliya na Musa. Aisee nitaondoka zangu tu kwenda hata kwa bro Shetty nikaone kama kweli kutakuwa na Wachaga huko wanauza faya ekstingwisha! 😁😁😁mideko nikikuona mbinguni ntashangaa sana
Ulaya kuna mbwa wana raha kuliko hata Mbongo wa Masaki 😁😁😁