Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Have a good morning
4fd0dd519d01f5ea876e6425327605c5.jpg
 
HUWEZI KUAMINI LAKINI NDIO HAYA
Wanaisababishia Serikali hasara bilioni 71.... Adhabu yake.... kifungo miaka 4au faini milioni 12.
Najaribu kufikiria haya mambo najisikia vibaya sana....
Jana tu tumepata habari za kutisha mwanamke mmoja amekutwa na vipande 12 vya nyama ya Swala amehukumiwa kwenda jela miaka 22 hivi Msomaji wangu Unaweza kuelewa hii??
Usifikiri ni nje ya Tanzania,ni humu humu Tanzania, halafu Watawala wanahubiri eti.....Kuna utawala wa Sheria na Haki.....hii ni kweli???
Iko wapi Haki hapa? Viongozi mnayasikia haya na mnapata Usingizi?
Mheshimiwa Rais unayasikia hayaaa?
Mheshimiwa Makamu wa Raisi, Waziri Mkuu, Waziri wa sheria mnayasikia hayaa?
Kwetu sisi hii ni maumivu Makubwa, hatuelewi Mnatarajia tuyachukulie vipi.
Kama huku ni kuchoka tokeni madarakani waongoze Wengine, mahakamani tunaambiwa ndipo mtuhumiwa anapata haki yake Kweli?Je ni Kweli mahakamani ndipo haki inapotafisiriwa??
Tusaidieni Nchi yetu isiingie kwenye Laana, hatuhitaji laana tunataka baraka Ondoeni watendaji mahakamani wabovu hawa ni Aibu kwa Taifa na mbele za Mungu ni #Chukizo.!!View attachment 2807416

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu sana kumuadhibu mtu uliyemtuma kufanya sawasawa na jambo lilivyo fanyika.
 
Back
Top Bottom