Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Hivi Konde Boy alikula kweli hii pisi au ilikuwa kiki tu?Oyaaa weeeh 🤗🤗🤗😍
View attachment 2805315
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna mabwakuuu.We ndo daktar bingwa wa magonjwa yangu sugu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaahkuja 2malizie dozi daktar nmekusubilia hapa silinji ninayo
Inaonekana kama konde kamfollow huyu manzi igHivi Konde Boy alikula kweli hii pisi au ilikuwa kiki tu?
Pole sana mkuuNashindwa kupumua kabisa
kichwa kinaniuma,koo limekauka napumulia mdomo,nahisi baridi kalii,masikio meziba,macho ynauma michoz tu inatoka,
Mniombee[emoji1317], mwili unaenda kushindwa.
😅😅😅😅 Vijana wa sasaivi shida tunataka mafanikio ya haraka mkuu max of waiting huwa ni labda 1 - 15 years ni vigumu sana kwa kijana kusubiri 20+ years duuh hee zama hizi ni uongo asee
Goli tano mkuu?! Hata usingizi sina