Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

28e4364139f361f2e5fecd6dd77f5279.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji293][emoji3517] HUWEZI KUAMINI LAKINI NDIO HAYA[emoji116][emoji116]
[emoji3578]Wanaisababishia Serikali hasara bilioni 71.... Adhabu yake.... kifungo miaka 4au faini milioni 12.
[emoji3578] Najaribu kufikiria haya mambo najisikia vibaya sana....
[emoji3578]Jana tu tumepata habari za kutisha mwanamke mmoja amekutwa na vipande 12 vya nyama ya Swala amehukumiwa kwenda jela miaka 22 hivi Msomaji wangu Unaweza kuelewa hii??
[emoji3517]Usifikiri ni nje ya Tanzania,ni humu humu Tanzania, halafu Watawala wanahubiri eti.....Kuna utawala wa Sheria na Haki.....hii ni kweli???
[emoji3538]Iko wapi Haki hapa? Viongozi mnayasikia haya na mnapata Usingizi?
[emoji3538] Mheshimiwa Rais unayasikia hayaaa?
[emoji3538] Mheshimiwa Makamu wa Raisi, Waziri Mkuu, Waziri wa sheria mnayasikia hayaa?
[emoji419] Kwetu sisi hii ni maumivu Makubwa, hatuelewi Mnatarajia tuyachukulie vipi.
[emoji2734][emoji3581]Kama huku ni kuchoka tokeni madarakani waongoze Wengine, mahakamani tunaambiwa ndipo mtuhumiwa anapata haki yake Kweli?Je ni Kweli mahakamani ndipo haki inapotafisiriwa??
[emoji3583][emoji1241] Tusaidieni Nchi yetu isiingie kwenye Laana, hatuhitaji laana tunataka baraka Ondoeni watendaji mahakamani wabovu hawa ni Aibu kwa Taifa na mbele za Mungu ni #Chukizo.!!
FB_IMG_1699402442565.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom