Basi Kaka inatosha, mnataka na leo pia tushindwe hata kula ugali kwa stress 😩
Pole sana Mungu yupo atakuvusha jitahidi upate tangawizi na limao weka na maji moto unywe utakuwa sawaNashindwa kupumua kabisa
kichwa kinaniuma,koo limekauka napumulia mdomo,nahisi baridi kalii,masikio meziba,macho ynauma michoz tu inatoka,
Mniombee[emoji1317], mwili unaenda kushindwa.
Mungu wangu pole rafiki tunakuombeaNashindwa kupumua kabisa
kichwa kinaniuma,koo limekauka napumulia mdomo,nahisi baridi kalii,masikio meziba,macho ynauma michoz tu inatoka,
Mniombee[emoji1317], mwili unaenda kushindwa.