Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,393
- 857,582
- Thread starter
- #193,001
mwili unaenda kushindwa...! HAPANA NAIKATAA HIYO HALI utakaa sawa muda si mrefuNashindwa kupumua kabisa
kichwa kinaniuma,koo limekauka napumulia mdomo,nahisi baridi kalii,masikio meziba,macho ynauma michoz tu inatoka,
Mniombee[emoji1317], mwili unaenda kushindwa.
Sent using Jamii Forums mobile app