Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,779
- 147,020
Umefrahi[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] siku yoyote anaziweka gazetini
Umefrahi[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] siku yoyote anaziweka gazetini
Babu[emoji23]Hakuna mdada ambaye hajui kucheat hasa siku hizi. Labda ukamtoe mbinguni [emoji51][emoji51][emoji51]
Kaolewa na yooooooohMsanii maarufu hapa Tanzania VANILLAH ambaye ni msanii wake na alikiba kutoka KING MUSIC amewaacha hoi wasanii wake pamoja na mashabiki zake uko kwenye mitandao yake ya kijamii hasa instagram #VanillahMusic baada ya kupost picha ambayo inaonesha akiwa amevaa nguo za mwanamke za kwenye harusi (Shela)
View attachment 2802453
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo kaila hii minyama huko chuo,kaumwa nusu akate kamba[emoji16],