🤣🤣🤣 anataka kuhakikisha
Duh!!Pichani ni Bondia hatari wa uzito wa juu duniani Andy Ruiz raia wa Mexico akipima uzito.
Jamaa anapiga ngumi za kasi na hatari mno moja kati ya pambano aliloshinda na kushangaza dunia ni mwaka juzi alipomtwanga bondia maarufu wa Uingereza Anthony Joshua.View attachment 2800792
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!!Dogo kaila hii minyama huko chuo,kaumwa nusu akate kamba,
shida hasikii harufu,mwenzie alimwambia anasikia harufu ya mbwa aliyeoza![]()
Aisee 🤣 🤣
🤣🤣 atatoka huyoo