Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Hakuna mdada ambaye hajui kucheat hasa siku hizi. Labda ukamtoe mbinguni 😬😬😬
Hakuna mdada ambaye hajui kucheat hasa siku hizi. Labda ukamtoe mbinguni 😬😬😬
[emoji23]Msata Kilingeni [emoji23]Kule wapi? [emoji51][emoji51][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Ofishale mwamba kaleft group au ni kiki tu za kisanii? 😳Msanii maarufu hapa Tanzania VANILLAH ambaye ni msanii wake na alikiba kutoka KING MUSIC amewaacha hoi wasanii wake pamoja na mashabiki zake uko kwenye mitandao yake ya kijamii hasa instagram #VanillahMusic baada ya kupost picha ambayo inaonesha akiwa amevaa nguo za mwanamke za kwenye harusi (Shela)
View attachment 2802453
Sent using Jamii Forums mobile app